Mkazuzu
JF-Expert Member
- Apr 3, 2008
- 449
- 557
Wahenga tupo njoo tuyajengeNajua ni mwaka 11 sasa tangu tujiunge na Jamii Forum enzi hizo inaitwa Jambo forum iliyoanzishwa na vijana wawili na kubadilishwa jina baadaye na kuitwa Jamii Forum.
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahenga tupo njoo tuyajengeNajua ni mwaka 11 sasa tangu tujiunge na Jamii Forum enzi hizo inaitwa Jambo forum iliyoanzishwa na vijana wawili na kubadilishwa jina baadaye na kuitwa Jamii Forum.
.
Kupakumbuka si rahisi nimeishakamatwa na mtoto wa kiruguru anaitwa Nuru hivyo ni ngumu kurudi huko.Karibu sana ila tukumbe tulikotoka visiwani siku hizi usafiri mzuri tu mpaka Ukara unafika powa tu
Tangu 2006 hujawa hata expert member?Tupo wa jamboforums!
Mbona kaeleza vizuri ktk aya ya kwanza kama nilivyomnukuu ..."Najua ni mwaka 11 sasa tangu tujiunge na Jamii Forums enzi hizo inaitwa Jambo forum iliyoanzishwa na vijana wawili na kubadilishwa jina baadaye na kuitwa Jamii Forum."...2007 kwanza jamiiforums ilikuwa haipo. Nenda zako jamboforums
Samahani wakuu mimi nimemtania tuMbona kaeleza vizuri ktk aya ya kwanza kama nilivyomnukuu ..."Najua ni mwaka 11 sasa tangu tujiunge na Jamii Forums enzi hizo inaitwa Jambo forum iliyoanzishwa na vijana wawili na kubadilishwa jina baadaye na kuitwa Jamii Forum."...
Tangu 2006 hujawa hata expert member?
Nyumbani ni nyumbani tu ndugu bibi zako wako huko tena yawezekana wanakukumbuka kila siku mjukuu wao lini watakuona tena.Nuru umekutana naye ukubwani tu naye anatakiwa kujua na kupafahamu mahali pa asili yakoKupakumbuka si rahisi nimeishakamatwa na mtoto wa kiruguru anaitwa Nuru hivyo ni ngumu kurudi huko.
Vijana na utani wao kwa wakubwa.....ndiyo maisha mkuuMbona kaeleza vizuri ktk aya ya kwanza kama nilivyomnukuu ..."Najua ni mwaka 11 sasa tangu tujiunge na Jamii Forums enzi hizo inaitwa Jambo forum iliyoanzishwa na vijana wawili na kubadilishwa jina baadaye na kuitwa Jamii Forum."...
Wewe ni type gani?Umri wako sio type yetu,,, katafute vibabu/vibibi wenzako mitaani.
2007 kwanza jamiiforums ilikuwa haipo. Nenda zako jamboforums
2015Wewe ni type gani?
You might be that wrong type, misplaced.2015