Members wa JF waliojiunga 2007 njooni tusemezane

Najua ni mwaka 11 sasa tangu tujiunge na Jamii Forum enzi hizo inaitwa Jambo forum iliyoanzishwa na vijana wawili na kubadilishwa jina baadaye na kuitwa Jamii Forum.
.
Wahenga tupo njoo tuyajenge
 
Sie tuliojiunga mwaka 2008 turuhusiwa kuchangia au mpk ifike 2019?

Kila la kheri wakubwa zetu. Tunaithamini michango yenu ya enzi hizo
Ruksa mkuu karibu sana 2007 na 2008 ni ndugu moja
 
Karibu sana ila tukumbe tulikotoka visiwani siku hizi usafiri mzuri tu mpaka Ukara unafika powa tu
Kupakumbuka si rahisi nimeishakamatwa na mtoto wa kiruguru anaitwa Nuru hivyo ni ngumu kurudi huko.
 
2007 kwanza jamiiforums ilikuwa haipo. Nenda zako jamboforums
Mbona kaeleza vizuri ktk aya ya kwanza kama nilivyomnukuu ..."Najua ni mwaka 11 sasa tangu tujiunge na Jamii Forums enzi hizo inaitwa Jambo forum iliyoanzishwa na vijana wawili na kubadilishwa jina baadaye na kuitwa Jamii Forum."...
 
Samahani wakuu mimi nimemtania tu
 
Kupakumbuka si rahisi nimeishakamatwa na mtoto wa kiruguru anaitwa Nuru hivyo ni ngumu kurudi huko.
Nyumbani ni nyumbani tu ndugu bibi zako wako huko tena yawezekana wanakukumbuka kila siku mjukuu wao lini watakuona tena.Nuru umekutana naye ukubwani tu naye anatakiwa kujua na kupafahamu mahali pa asili yako
 
Mbona kaeleza vizuri ktk aya ya kwanza kama nilivyomnukuu ..."Najua ni mwaka 11 sasa tangu tujiunge na Jamii Forums enzi hizo inaitwa Jambo forum iliyoanzishwa na vijana wawili na kubadilishwa jina baadaye na kuitwa Jamii Forum."...
Vijana na utani wao kwa wakubwa.....ndiyo maisha mkuu
 
Back
Top Bottom