Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

Hakuna kitu kinachoitwa tecno worldwide
Itabidi nihame maana hata kule GSM Arena inatoa specifications ya simu zote isipokuwa tecno au ni OG sana ndo maana inashindwa kuitambua mkuu?

brain is the beautiful part of the body.
 
Sio tecno tuu,mi natumia TECNO T611 ase kama namb ya gari,tu jaman tecno n shida.
 
Kwani kuna tatizo?

.... you can't convince, then confuse....
 
Itabidi nihame maana hata kule GSM Arena inatoa specifications ya simu zote isipokuwa tecno au ni OG sana ndo maana inashindwa kuitambua mkuu?

brain is the beautiful part of the body.

Ha ha ha a wahi utoke huko!!! Screpa tupu!!
 
Mmmm Tecno

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Ha ha ha a wahi utoke huko!!! Screpa tupu!!
Hahaha unaponda kampuni ya simu wakati wewe hata kuweka APN unapeleka kwa jirani [emoji125] [emoji125] [emoji125]

brain is the beautiful part of the body.
 
Hahaaaa kunawatu wamepanic humu.

Team tecno let's fill free.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app

Saanaa wanasahau kutumia tecno si fahari pia si dhambi... ni uwezo wao umeishia hapo
Duniani kuna madaraja tofauti hivyo hatuwezi wote kuwa sawa
 
Hivi mtu anafaidika nini kujifananisha na wengine. Hivi watu wananufaika vipi kwakutumia gharama kubwa kwa kitu kisichozalisha na matumizi yake ni basic tu.
 
Hakuna kitu kinachoitwa tecno worldwide
Acha kuzingua wewe mbona tecno zinasura nzurituu.
Karibu Afrika nzima tunatumia hizi na zina kila kitu, huko world wide ni wapi.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Acha kuzingua wewe mbona tecno zinasura nzurituu.
Karibu Afrika nzima tunatumia hizi na zina kila kitu, huko world wide ni wapi.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app

Afadhali wewe unauelewa kidogo na Tecno ambao unazungumzika.
Ulishawahi kujiuliza why Tecno ni Africa pekee??
Simu ni zaidi ya umbo la nje ndugu, niambie unatumia kwasababu zina umbo kubwa na bei rahisi nitakuelewa
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Huu uzi! Kwi kwi kwi kwi!

Sent from my iPhone SE 64GB Space Gray using JamiiForums app for mobile.
 
Huu nao ni umbea

Sent from Jamiiforum using S7 edge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…