Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]

Sent from my Samsung galaxy S6 edge using jamiiforums app
 
Dunia ina mambo toka kitambo

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Matekno sijawahi ona yakiuzwa ebay amazon au aliexpress kwasabb ni mabovu na mabomu

Sent from my Samsung galaxy- S7 edge using Jamiiforum mobile App
 
Sony hua haina kelele, thumbs up bro
 
Hilo ni kwel hata mim nakuunga mkono
 
Waseme tu ndo uwezo ulipoishia.
yani simu brand ya tecno si simu ni janga. Halafu wanavyotoaga makubwa ili wazidi kuwashawishi[emoji23] [emoji23]
Yani bora mtu amiliki s3 kuliko tecno[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] rubii unanini lkn mbona watuhamisha mawazo tucwe huru na tecno wereva jmn,
 
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]

[emoji7][emoji7]rubi ananichokoza ujue!

brain is the beautiful part of the body.


Nawaona nawaonaaa.....
Ha haaaaa halafu wakimiliki wanaona wamemiliki simu za maana sana


Mwenzangu! ukubwa wa simu unawazuzua sana
Kioo kibovu
Kamera mbovu 13mp za ubabaifu lakini akikutumia hiyo picha wewe mwenye 8mp za ukweli unamshangaa
Quality mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…