Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni ukweli mchungu ambao watumiaji wa tecno werevaaa hawapendi kuusiki.
Tecno hawajawahi kuwa na simu bora.
Kabisaa ndio maana zinauzwa Africa tuHakuna simu zenye quality mbovu kama Tecno,
Dunia inajua,Wachina wanajua, hata watumiaji wanajua
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]![]()
brain is the beautiful part of the body.
Sony hua haina kelele, thumbs up broSasa tatizo ni nini watu tunatofautiana uwezo na choices, Kuna wengine Wana uwezo kipesa mkubwa sana lakini wanatumia simu za kawaida Kuna wengine wako radhi wakope kununua simu ya bei mbaya, katika maisha watu wanatofautiana vipaumbele au priorities hili haliepukiki
Sent from my C6806 using JamiiForums mobile app
[emoji3] [emoji3] nashukuru samsung clientThankyou werevaaa
Matekno sijawahi ona yakiuzwa ebay amazon au aliexpress kwasabb ni mabovu na mabomu
Sent from my Samsung galaxy- S7 edge using Jamiiforum mobile App
Kabisaa ndio maana zinauzwa Africa tu
[emoji7][emoji7]rubi ananichokoza ujue![emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ha haaaaa halafu wakimiliki wanaona wamemiliki simu za maana sanaHata GSM ARENA hawazijui
Hilo ni kwel hata mim nakuunga mkonoJamiiForums naona mmeamua kuwachagulia watumiaji wenu signature automatically.
Tecno imeteka soko la Tanzania, maana kila mtu akipost, chini unaona sent from Tecno...[emoji3]
Ushauri kwa wanaotongoza humu na kusema wanatumia iPhone 7, na wanaponda hizi simu zetu; badilisheni signature. Hii ni baada ya mtu kupost anatoa ajira, alafu mdau mmoja akasema na unatymia Tecno X utawezaje kumlipa mshahara[emoji20] .
Conclusion: doctor wangu ana V8, pamoja na Nokia torch.
-callmeGhost
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] rubii unanini lkn mbona watuhamisha mawazo tucwe huru na tecno wereva jmn,Waseme tu ndo uwezo ulipoishia.
yani simu brand ya tecno si simu ni janga. Halafu wanavyotoaga makubwa ili wazidi kuwashawishi[emoji23] [emoji23]
Yani bora mtu amiliki s3 kuliko tecno[emoji23]
Mi siyo rubii bwanaaa[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] rubii unanini lkn mbona watuhamisha mawazo tucwe huru na tecno wereva jmn,
[emoji3] [emoji3] nashukuru samsung client
brain is the beautiful part of the body.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alivyokaza kutukatisha tamaa unaweza jutia cku uloingia dukani kununua tecno wereva![emoji7][emoji7]rubi ananichokoza ujue!
brain is the beautiful part of the body.
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji7][emoji7]rubi ananichokoza ujue!
brain is the beautiful part of the body.
Ha haaaaa halafu wakimiliki wanaona wamemiliki simu za maana sana