Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

Samahani ndugu, Mimi naomba kufahamisha hizo tecno very classy Kuliko samsung
3tu!
Infinix, tecno, Intel wote baba yao mmoja kutoka hong kong

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Kuna binti alisema et alikua anakuheshimu sana ila heshima yako imeshuka
Duuuu binti gani huyo

Ngoja ni upgrade status yangu ASAP

Sent from my KIBAMIA TZ Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Unaongea kisayansi, mtu hata hajawahi kutumia anaishia kuiponda tu

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Infinix, tecno, Intel wote baba yao mmoja kutoka hong kong

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app

Samahani ndugu, Mimi naomba kufahamishwa hizo tecno very classy Kuliko samsung
3tu!
 
acha ushamba kwani tecno sio simu ni mkate au pumbavu kwel
 
Nipo apa mr tecno kwan nyinyi mnataka tutumie simu gani[emoji51][emoji51][emoji51]

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Unaongea kisayansi, mtu hata hajawahi kutumia anaishia kuiponda tu

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app

Pole! Tecno ni bora simu tu ambazo wachina waliamua wawaletee sababu mnapenda mambo makubwa uwezo hamna
Nilishasema hapo awali kutumia tecno wala si dhambi!
Ni uwezo wetu ulipofika
Kwani mbona hata mbuzi anakula kutokana na urefu wa kamba yake.
Ila mambo ya "sizitaki mbichi hizi ndiyo nayopinga"
Unasemaje samsung na iphone mbaya na unatumia simu ya laki 2 ambayo huwenda huko Samsung au iphone ndio simu za bei rahisi sana??
Ni kweli kweli Samsung na Iphone wanasimu mbaya au uwezo wa kununua yenye quality zaidi kutoka kwao huna?
 
Phantom series ndugu embu cheki bei zake

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
inabidi muanzishe jamii forum ya wenye simu zenu [emoji16] [emoji16] [emoji16]

sie team makapuku [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa natumia Sony z2, mbona sioni tofauti na hii tecno, kikubwa ni ubora picha ndio Sony niliona wako vizuri, walianza na Africa, sasa hivi wamefika India, mid east, halafu pia zimepitishwa na tbs sio kwamba wamefika kienyeji huku kwetu

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Sawa

Sent from my TRENDY using JamiiForums mobile app
 
Nikweli, Tecno imeshika kasi... Pia ni nzuri na ipo vizuri katika kuperuzi na inapatikana kwa urahisi.....
mkombozi huyu tecno

wale wa majivuno tuwaachie iphone, lakini tunao kwa kanjiiii

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Unajua kujifariji wewe!!

hiyo siyo historia ya tecno embu itafute vizuri
 
Izo ndio kwa awamu hii inalipa maana masimu ya mamilioni hayawezekanwi tena kumilikiwa
 
Phantom series ndugu embu cheki bei zake

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app

Phantom ndio simu bora na gharama zaidi kutoka tecno na ndio mnajivunia??
Okay inauzwa laki6.
Samsung kuna A series,
Jseries
Sseries
Note

Kote humo hamkai kwa hiyo phantom

Sasa huko tecno J7prime tunaiweka na Phantom?
S8 tunaiweka na Phantom?
A9 tunaiweka na Phantom?
Note 5 tunaiweka na Phantom?

Na zote hapo hakuna Chini ya laki 6
Kubaliana na hali tu ndugu
Usingizi wa Serena hotel unaraha yake si sawa na wa gongazote lodge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…