Nachojua tecno wanatumia mediatek vs snapdragon Samsung,, kuna function kama 3D games ndio inaweza kunilimit kucheza, ambazo huwa sina mpango nazo, sasa nispend millioni 2,kwenye kwa functionalities ambazo sina mpango yanini, wakati huku laki 3 inanitosheleza
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Kimaskin maskini lzm ujipe moyo, gari, nyumba, simu, nguo, msosi, mtaa unaoish vyote haviwez hukumu...poleee
Gorilla screen ndio nispend kote hukoKubali tu ndugu umasikini ndio mwanzo wa yote hayo!
3D games ndio inapatikana Samsung pekee??
Kioo cha simu yoyote ya Samsung Ubora na Uangavu wake huwezi linganisha na simu yoyote toka tecno hilo nakutanabaisha.
Why?? Wanadeal na quality sio alimradi simu
Mbona umaskini si kilema jamani tukubaliane na hali zetu!!
Huwezi afford acha na mambo ya "sizitaki mbichi hizi"
Gorilla screen ndio nispend kote huko
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
5.5 inch ndio ukubwa wa nyumba, kama Samsung nimeshazitumia, kuna kinachonivutia nitumie tecno wewe umewahi tumia?Kwani hakuna simu za laki3 Samsung? au kwa vile hazina ukubwa kama nyumba??
Kwani hakuna simu za laki3 Samsung? au kwa vile hazina ukubwa kama nyumba??
Izo ndio kwa awamu hii inalipa maana masimu ya mamilioni hayawezekanwi tena kumilikiwa
5.5 inch ndio ukubwa wa nyumba, kama Samsung nimeshazitumia, kuna kinachonivutia nitumie tecno wewe umewahi tumia?
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo unaniambia niache tecno yangu ninunue Samsung, bila sababu za kutosheleza, huu mwaka wa pili natumia tecno sijawahi kuona tatizo lolote, pia huna sababu za kutukana, mimi na wewe hatuna hisa kwenye hizi kampuniWewe utumie Samsung wewe?? kHa ha ha a a a
Labda Sony Z2
Mwanzo ulivyonijia juujuu nikajua unakitu kichwani kuhusuana na Industry hii kumbe kichekechea tu
Mara ooh Samsung mbaya
Mara Tecno wana simu zenye classy kuliko Samsung, zitaje holaaa
Oooh Nitanunuaje simu kisa gorilla screen kumbe unajua Quality is where to be found eh
Tecno kwangu ni fedheha!! Naungana na mchangiaji mmoja hapo awali aliyesema bora abaki hana smartphone kuliko kutumia tecno."
Sumu haionjwi
Tupambane tu hali zetu mpendwa, mambo ya sizitaki mbichi hizi hayafai
JamiiForums naona mmeamua kuwachagulia watumiaji wenu signature automatically.
Tecno imeteka soko la Tanzania, maana kila mtu akipost, chini unaona sent from Tecno...[emoji3]
Ushauri kwa wanaotongoza humu na kusema wanatumia iPhone 7, na wanaponda hizi simu zetu; badilisheni signature. Hii ni baada ya mtu kupost anatoa ajira, alafu mdau mmoja akasema na unatymia Tecno X utawezaje kumlipa mshahara[emoji20] .
Conclusion: doctor wangu ana V8, pamoja na Nokia torch.
-callmeGhost
Kwa hiyo unaniambia niache tecno yangu ninunue Samsung, bila sababu za kutosheleza, huu mwaka wa pili natumia tecno sijawahi kuona tatizo lolote, pia huna sababu za kutukana, mimi na wewe hatuna hisa kwenye hizi kampuni
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Wape Wape Vidonge VyaoNilichoona hapa wasiotumia tecno ndio wanaumia kwa nini wengine wanatumia sio brand nyingine, wewe unakasamsung chako wa tecno anakuhusu nini
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Nilichoona hapa wasiotumia tecno ndio wanaumia kwa nini wengine wanatumia sio brand nyingine, wewe unakasamsung chako wa tecno anakuhusu nini
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Alafu wengi wao ni UVCCM
Swissme