Sio kweli mkuu kuwa na simu ya aina Fulani haimaanishi kujidhalilisha Bali ni huenda muhusika amependa simu ya aina hiyo au ndio alizozizoea hivyo anaona kuwa simu aina nyingine inaweza kumsumbua kutumia hadi azizoeeUkiona uzi hauchangiwi sana ujue wengi wao wanaona aibu kuumbuka na vitekno vyao ..[emoji3][emoji3]
Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
Nishatumia sana simu za misifa lakini huu mtambo unaouona sijutii kuwa nao nilikuwa nachezea hela zanguhahaha tuone aibu kwani tumeiba jaman tecno zetu ......mtu chake lol
imetokea sent from itelHivi mimi imetokea natumia simu gan vile?
Khaaaa yakweli hayo?, hahahahaaaa kuna makosa nadhanimetokea sent from itel
haha hakuna makosa signature huwa haidanganyiKhaaaa yakweli hayo?, hahahahaaaa kuna makosa nadhan
Hawa jamaa nawakubali sanaAngalia mzigo huo
Sent from my EVA-L19 using JamiiForums mobile app
Hawa jamaa wako vizuri mno.Hawa jamaa nawakubali sana
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Kwa ujuzi wangu, hii ni signature. Correct me if I am wrong.Ishu sio signature bali ni kama unatumia app ya jamiiforums.
Ebu niambie mimi natumia simu gani? Nina signature pia.
Hands down[emoji122]Tofauti ipo acha kuongea maneno ya mkosaji. Wewe unasimu ina Ram ya 512mb mwenzio ana ya 4gb. Unadhani mnaweza lingana?
Sema hivi "Kila mbuzi anakula kwa urwfu wa kamba yake."
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Sent from mche wa sabuniNamm jee[emoji39][emoji39]
Hii unayoongelea ni ukiwa na jamii app kwenye simu au?? Mimi situmii jamii app na nikienda ktk signature eidha hakijaandikwa kitu au naandika mwenyewe!Kwa ujuzi wangu, hii ni signature. Correct me if I am wrong.
Proof, nenda settings, scroll down mpaka signature, utakuta 'none', 'sent from my iPhone 7' na customise. Signature yangu ni 'callmeGhost'.
-callmeGhost
Duh, hili tusi sasa.Teckno sio simu..ni kifaa cha mawasiliano