Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

mbona mie sina teckino nina hii hapa
Sent from my PHILLIPS AU DOLE GUMBA using JamiiForums mobile app
 
Kweli kbs vitecno ndo vimejaa humu khaaa nilidhan nitaona maiphone, lg kumbe wapi

Sent from my Samsung galaxy- S7 edge using Jamiiforum mobile App
 
Kweni simu ya Tecno sio simu jaman mbona zinauzwa bei kubwa tu.

Zimwi likujualo......
 
Mleta mada acha kuzingua bana...mi natumia simu gani kama we mjanja????

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
word napenda tecno coz inakaa na chaji masaaa 16 kuanzia asubuhi hasusani kwa mtu kama mimi ambae shughuli zangu ziko nje ya mji plus sina access ya umeme mda wote
Tecno machine bana.

Samsung dakika tuu chaji kushnei!!

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Ila jf jaman mwisho wa siku wote tunakutana jukwaan na wanaotumia tecno

Yaan humu kila mtu tajiri jamaan sasa hivi mmeingia na aina za simu
 
Tunashukuru wameumbuka!
Wale wakujitia kina "nyamihela"
"madon" hata wale wakujiita watoto wa mjini
 
Ukiona uzi hauchangiwi sana ujue wengi wao wanaona aibu kuumbuka na vitekno vyao ..[emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
Mtu chake apendacho,
hakina hila machoni,
huridhika kuwa nacho,
japo hakina thamani.
aibu ya nini sasa.
 
Nishatumia sana simu za misifa lakini huu mtambo unaouona sijutii kuwa nao nilikuwa nachezea hela zangu

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app


Wacha wee... Ha ha
 
Kwa Tanzania Soko linaenda hiviii,
Watu wengi wanapenda kutumia simu kubwa YES!! sababu imani yao ni mtu akimiliki simu kubwa ni ya gharama na ina mvuto, ataonekana nayeye ni mtu
Lakini, katika Ubora wa simu ndio utata maana simu zenye quality nzuri na zinazoaminika kimataifa ni gharama
Tecno waligundua watanzania wanapenda mambo makubwa kwa gharama ndogo kitu ambacho ni ndoto, hakuna kampuni inayoweza kutumia vifaa vyenye uhakika kutengeneza bidhaa na kupata hasara
Tecno wakaja na simu kubwa ili mradi zenye ubora hafifu kwa bei rahisi sana
Hakuna simu zenye quality mbovu kama Tecno,
Dunia inajua,Wachina wanajua, hata watumiaji wanajua
Tusidanganyane ati kuna mtu anatumia tecno kwa kupenda ni umasikini tu hivyo hakuna namna
 
Back
Top Bottom