Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti huyu nae kutumia J1 anawakandia weny tecno...Bora nikae bila cm kuliko kutumia tecno
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Jamani...Alafu wengi wao ni UVCCM
Swissme
Tecno machine bana.word napenda tecno coz inakaa na chaji masaaa 16 kuanzia asubuhi hasusani kwa mtu kama mimi ambae shughuli zangu ziko nje ya mji plus sina access ya umeme mda wote
Shangaa na wewe mpaka uzi umefunguliwa etiTatizo jf ni kila mtu ana gari, nyumba anamiliki meli mashamba na ofisi...
Wamesahau tuu kununua iPhone
Hakuna simu naipenda kama tecno, naona ni nyepesi kwangu ktk utumiaji.Bora nikae bila cm kuliko kutumia tecno
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Mtu chake apendacho,Ukiona uzi hauchangiwi sana ujue wengi wao wanaona aibu kuumbuka na vitekno vyao ..[emoji3][emoji3]
Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
Hakuna simu naipenda kama tecno, naona ni nyepesi kwangu ktk utumiaji.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]KWA kwa hwaa aaa Funny!
Nishatumia sana simu za misifa lakini huu mtambo unaouona sijutii kuwa nao nilikuwa nachezea hela zangu
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Kila mtu ananunua simu kwa matumizi yake wala si fashion