Kwa Tanzania Soko linaenda hiviii,
Watu wengi wanapenda kutumia simu kubwa YES!! sababu imani yao ni mtu akimiliki simu kubwa ni ya gharama na ina mvuto, ataonekana nayeye ni mtu
Lakini, katika Ubora wa simu ndio utata maana simu zenye quality nzuri na zinazoaminika kimataifa ni gharama
Tecno waligundua watanzania wanapenda mambo makubwa kwa gharama ndogo kitu ambacho ni ndoto, hakuna kampuni inayoweza kutumia vifaa vyenye uhakika kutengeneza bidhaa na kupata hasara
Tecno wakaja na simu kubwa ili mradi zenye ubora hafifu kwa bei rahisi sana
Hakuna simu zenye quality mbovu kama Tecno,
Dunia inajua,Wachina wanajua, hata watumiaji wanajua
Tusidanganyane ati kuna mtu anatumia tecno kwa kupenda ni umasikini tu hivyo hakuna namna