Kuna taarifa eti tecno ndo inaongoza kwa mauzo duniani eti ni kweli?[emoji85][emoji85]Yes! hilo ndilo muhimu kila mbuzi anakula kutokana na urefu wa kamba yake
Situmii tecno ila sio kila mtu mwenye tecno ukaona hana pesaKumbe tecno mnatumia wazee hayaaaa
Bila Shaka unatumia bora simu na si simu bora
Hiihiihii hahahahaa hoohoohoo!Phantom??? Ha ha ha a
Yoyote lkn iwe tecno.Phantom??? Ha ha ha a
Kitu cha muhimu ni kwamba, kumjudge mtu kwa simu anayotumia ni ulimbukeni mbaya kuliko kutomudu kuwa na simu ghali.Wanahela na wanaendana na matumizi ya sayansi ya technologia na wanatumia tecno y3? L8? N2??
labda wakulima
Pia hakuna haja ya kujitia dhambi na jaka moyo kurushiana maneno makali ndugu, nadhani ni vyema kumpuuza mtu ambaye haendani na mienendo yako.
Inakizi matumizi yangu, huu mwaka wa pili naitumiaSitegemei uiponde TECNO hasa TECNO-C8.
eeenhe nawewe watumia simu gani ?Cheko la wereva hilooo... et mtu anaipenda Y3MUSIC
Kitu cha muhimu ni kwamba, kumjudge mtukwa simu anayotumia ni ulimbukeni mbaya kuliko kutomudu kuwa na simu ghali.
Hususan kwa sababu hujuikwa niniana simu hiyo.
Zaidi, dhambi kwangu ni kumtukana mtu aliyejikalia kajishikia zake, mshamba mshamba akiingia reli zangu namkata katikati halafu namla nyama barbeque kama Idi Amin.
Kumchana huyu si dhambi.Dhambi ni kumuachia.
Kumpuuza mjinga mjinga kamahuyu ni kumpa nafasi ya kurudia ujinga wake.
Sipendi kuacha uchafu haujafagiliwa mbali.
Naam, hiyo ni jadi tangu utoto siwezi kuacha.Haya endelea kufagiafagia
Situmii tecno ila sio kila mtu mwenye tecno ukaona hana pesa
Sent from my Sony Xperia[emoji769] XZ Premium using JamiiForums mobile app
Naam, hiyo ni jadi tangu utoto siwezi kuacha.
Kuna taarifa eti tecno ndo inaongoza kwa mauzo duniani eti ni kweli?[emoji85][emoji85]
brain is the beautiful part of the body.
Kuongoza kwa maana ya kuwa ya kwanza kwa mauzo duniani eti!Ha ha ha aDunia namba ngapi??