Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

Yes! hilo ndilo muhimu kila mbuzi anakula kutokana na urefu wa kamba yake
Kuna taarifa eti tecno ndo inaongoza kwa mauzo duniani eti ni kweli?[emoji85][emoji85]

brain is the beautiful part of the body.
 
Wanahela na wanaendana na matumizi ya sayansi ya technologia na wanatumia tecno y3? L8? N2??
labda wakulima
Pia hakuna haja ya kujitia dhambi na jaka moyo kurushiana maneno makali ndugu, nadhani ni vyema kumpuuza mtu ambaye haendani na mienendo yako.
Kitu cha muhimu ni kwamba, kumjudge mtu kwa simu anayotumia ni ulimbukeni mbaya kuliko kutomudu kuwa na simu ghali.

Hususan kwa sababu hujuikwa niniana simu hiyo.

Zaidi, dhambi kwangu ni kumtukana mtu aliyejikalia kajishikia zake, mshamba mshamba akiingia reli zangu namkata katikati halafu namla nyama barbeque kama Idi Amin.

Kumchana huyu si dhambi.Dhambi ni kumuachia.

Kumpuuza mjinga mjinga kamahuyu ni kumpa nafasi ya kurudia ujinga wake.

Sipendi kuacha uchafu haujafagiliwa mbali.
 
Watu mmefikia kutukanana matusi mazito kisa tecno hahahaa kwani kuna ajabu gani kutumia tecno jamani?
Hebu acheni midomo michafu kama vyoo vya sokoni.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Kitu cha muhimu ni kwamba, kumjudge mtukwa simu anayotumia ni ulimbukeni mbaya kuliko kutomudu kuwa na simu ghali.

Hususan kwa sababu hujuikwa niniana simu hiyo.

Zaidi, dhambi kwangu ni kumtukana mtu aliyejikalia kajishikia zake, mshamba mshamba akiingia reli zangu namkata katikati halafu namla nyama barbeque kama Idi Amin.

Kumchana huyu si dhambi.Dhambi ni kumuachia.

Kumpuuza mjinga mjinga kamahuyu ni kumpa nafasi ya kurudia ujinga wake.

Sipendi kuacha uchafu haujafagiliwa mbali.

Haya endelea kufagiafagia
 
Sina uhakika!

Sent from my HTC Desire 820G PLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
Situmii tecno ila sio kila mtu mwenye tecno ukaona hana pesa

Sent from my Sony Xperia[emoji769] XZ Premium using JamiiForums mobile app

Na hakuna mtu mwenye hela akatumia tecno haswa hizo nilizokutajia awali ukatae ukubali hiyo ndiyo hali halisi
 
kuna malimbukeni humu wanatumia iphone za kupewa na wajomba zao baada ya kuchoka kuzitumia, halafu utamuona humu ana majivuno wakati hana hata account ya crdb!! acheni ujinga tecno zinatunza chaji kwetu sisi wenye kazi za mikikimikiki!! naipenda tecno yangu L8 kwani inanitosheleza matakwa yangu
 
Tuacheni tufurahie TECNO

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom