Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

JamiiForums naona mmeamua kuwachagulia watumiaji wenu signature automatically.

Tecno imeteka soko la Tanzania, maana kila mtu akipost, chini unaona sent from Tecno...[emoji3]

Ushauri kwa wanaotongoza humu na kusema wanatumia iPhone 7, na wanaponda hizi simu zetu; badilisheni signature. Hii ni baada ya mtu kupost anatoa ajira, alafu mdau mmoja akasema na unatymia Tecno X utawezaje kumlipa mshahara[emoji20] .

Conclusion: doctor wangu ana V8, pamoja na Nokia torch.


-callmeGhost
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo wote hatuna simu bali vifaa vya mawasiliano

Sent from my SM-T705 using JamiiForums mobile app
 
We jamaa acha ukorofi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unajua huyo jamaa kidogo hayupo sawa hawezi panic kwa vitu vya kijinga anatoa matusi makubwa hvyo ......halaf ananitolea mm mtoto wa kike si maajabu haya...
Sasa dawa yake ndo hiyo kuzidi kumtia hasira ili akasirike vizuri....nasisitiza lazima atakua anatumia tecno uyo sio kwa povu lile

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Kila Brand ina Daraja lake ndugu hilo hatuna budi kukubaliana nalo tu
Si lazima iwe hivyo.

Kuna watu wana helaila wamezipangilia tu.

Halafu hawa malaya wa kiume wa rejareja wanaonuka mkojo wanapomwambia mtu ana tecno wakati hata hajawahi kuiona kwenye picha hilo linadhihirisha wana polio ya ubongo na mikundu inayowasha.

Tatizo mimi nina Bi Zuhra na mikundu situmii.

Freakin nasties.

Huyu hapa Warren Buffet, mtu wa tatu kwa utajiri duniani.

Warren Buffett's Frugal, So Why Aren't You?
 
Si lazima iwe hivyo.

Kuna watu wana helaila wamezipangilia tu.

Halafu hawa malaya wa kiume wa rejareja wanaonuka mkojo wanapomwambia mtu ana tecno wakati hata hajawahi kuiona kwenye picha hilo linadhihirisha wana polio ya ubongo na mikundu inayowasha.

Tatizo mimi nina Bi Zuhra na mikundu situmii.

Freakin nasties.

Warren Buffett's Frugal, So Why Aren't You?



Wanahela na wanaendana na matumizi ya sayansi ya technologia na wanatumia tecno y3? L8? N2??
labda wakulima
Pia hakuna haja ya kujitia dhambi na jaka moyo kurushiana maneno makali ndugu, nadhani ni vyema kumpuuza mtu ambaye haendani na mienendo yako.
 
Bora Mimi natumia desktop

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Nilijua TEKNO mwanamuziki wa NIGERIA , kumbe tusimu ..cheeee

Sent from my SM-N920A using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom