Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Tunadhalilikaje mkuu?Tunadhalilika watumiaji wa TECNO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunadhalilikaje mkuu?Tunadhalilika watumiaji wa TECNO
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo wote hatuna simu bali vifaa vya mawasilianoJamiiForums naona mmeamua kuwachagulia watumiaji wenu signature automatically.
Tecno imeteka soko la Tanzania, maana kila mtu akipost, chini unaona sent from Tecno...[emoji3]
Ushauri kwa wanaotongoza humu na kusema wanatumia iPhone 7, na wanaponda hizi simu zetu; badilisheni signature. Hii ni baada ya mtu kupost anatoa ajira, alafu mdau mmoja akasema na unatymia Tecno X utawezaje kumlipa mshahara[emoji20] .
Conclusion: doctor wangu ana V8, pamoja na Nokia torch.
-callmeGhost
[emoji3][emoji3][emoji3]Alafu wengi wao ni UVCCM
Swissme
cheko la umbeya
Hwa limbukeni wengine simu kwao ni status symbol.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unajua huyo jamaa kidogo hayupo sawa hawezi panic kwa vitu vya kijinga anatoa matusi makubwa hvyo ......halaf ananitolea mm mtoto wa kike si maajabu haya...We jamaa acha ukorofi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HeheheCheko la wereva hilooo... et mtu anaipenda Y3MUSIC
Si lazima iwe hivyo.Kila Brand ina Daraja lake ndugu hilo hatuna budi kukubaliana nalo tu
Kuna mdau alisema yeye anatumia iphone 6 cha ajabu melo akamtilia signature ya Y3+ musicWerevaaaa...
Si lazima iwe hivyo.
Kuna watu wana helaila wamezipangilia tu.
Halafu hawa malaya wa kiume wa rejareja wanaonuka mkojo wanapomwambia mtu ana tecno wakati hata hajawahi kuiona kwenye picha hilo linadhihirisha wana polio ya ubongo na mikundu inayowasha.
Tatizo mimi nina Bi Zuhra na mikundu situmii.
Freakin nasties.
Warren Buffett's Frugal, So Why Aren't You?
ccm phobia itakuua, jambo hata halihusiani na siasa we lazima utaje ccm, magufuli kawakaba ngebe kinyama yaaniAlafu wengi wao ni UVCCM
Swissme
Kuna mdau alisema yeye anatumia iphone 6 cha ajabu melo akamtilia signature ya Y3+ music
brain is the beautiful part of the body.
ccm phobia itakuua, jambo hata halihusiani na siasa we lazima utaje ccm, magufuli kawakaba ngebe kinyama yaani
siamin hicho kitu ..ila sikulaumu huenda elimu au ujana unakuchanganyaSema kwa kuzingatia ukubwa wa mfuko wake!
Tukubaliane na hali yetu tu sisi wa tecno maana hakuna namna sasaNa kwa tambo atakwambia anaipenda sana tecno
siamin hicho kitu ..ila sikulaumu huenda elimu au ujana unakuchanganya
Tukubaliane na hali yetu tu sisi wa tecno maana hakuna namna sasa
brain is the beautiful part of the body.