Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

Ukiona uzi hauchangiwi sana ujue wengi wao wanaona aibu kuumbuka na vitekno vyao ..[emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
Tecno ndo simu bwana asikwambie meu. Mi nnae tumia tecno camon cx na wewe unaetumia iPhone 7 tunatofautiana nini.

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Tecno ndo simu bwana asikwambie meu. Mi nnae tumia tecno camon cx na wewe unaetumia iPhone 7 tunatofautiana nini.

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app

Hakuna tofauti mkuu.
Kwanini utumie Range na vits old model zipo buana!
 
We unayetumia range wa vits anakuhusu nini

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app

Screenshot_2017-07-13-06-12-11-1.png

Alitoka siku moja, njaa aliposikia,
Njaa aliposikia, Sungura nakuambia

Sikuile akaenda, Porini kutembelea,
Akayaona matunda, mtini yameenea,
Sungura akayapenda, mtini akasogea,
Mtini akasogea, Sungura nakuambia.

Sungurakarukaruka, lakini hakufikia,
Matunda hakuyashika, mikononi hakutia,
Hakika alisumbuka, nguvuze zikapungua,
Nguvuze zikapungua Sungura nakuambia.

Mtazame hapo juu Sungura amelegea,
Mtazame na miguu, matunda anarukia,
Atafanya sikukuu, matunda akifikia,
Matunda akifikia, Sungura nakuambia.

Karukatena karuka, matunda akarukia,
Mwisho Wave akachoka, kachoka hata mkia,
Penye mti akatoka, pembeni akasogea,
Pembeni akasogea, Sungura nakuambia.

“Sizitakimbichi hizi” Sungura akagumia,
“Naona nafanya kazi, bila faida kujua”,
Yakamtoka machozi matunda akalilia,
Matunda akalilia, Sungura nakuambia.

Siokama hakutaka, sasa nakupasulia,
Matunda aliyataka, ndiyo kisa akalia
Tunajua hakufika, alichoka kurukia,
Alichoka kurukia, Sungura nakuambia.
 
Kweli kbs vitecno ndo vimejaa humu khaaa nilidhan nitaona maiphone, lg kumbe wapi

Sent from my Samsung galaxy- S7 edge using Jamiiforum mobile App
We mwenyewe hyo umeedit wacha isome real id ya simu yako.... Samsung haiandikwi hivyo ni code tuu

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Njema za kwako ndugu?
Naona mrembo umekomaa nao mwanzo mwisho... nimecheka sana aisee.... 85% ya JF users wanatumia tecno

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Tecno wana cm kali samsung anasubiri

Sent from my SAMSUNG-SM-G920A using JamiiForums mobile app
 
Naona mrembo umekomaa nao mwanzo mwisho... nimecheka sana aisee.... 85% ya JF users wanatumia tecno

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app

Jamaa wanavituko...
tatizo lao wanajifanyaja wamajuu sana
Kuna mzee humu anaact don Mello kamuumbua na N2 yake
Halafu wanaponda Samsung na Iphone et mbaya
Mtu una y3music ya 99999 unasema Samsung mbaya na uwezo wa kuinunua hauna kweli?
 
Njema za kwako ndugu?
Halafu we mbona umeficha id ya simu yako rubii , unadiss tu wenzio. Hebu wachilia hio iphone 7 plus yako watu waione na wewe! Ila chonde chonde usije edit maana kuna wengine wamejikita ku edit huku wakisahau ile jf app inasoma model no. ya simu tu na sio brand name.

Mi natumia LG-LS980 kwa sasa, ila sina jf app so ndio maana haionekani
 
na hapo ndipo mnapo haribikiwa waTZ, unakuta mtu yupo radhi alale chini ilimradi tu amiliki simu ya garama kubwa!

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Ujue kutofautisha kumdis mtu na kumwambia ukweli.
Sina app siifurahii
 
na hapo ndipo mnapo haribikiwa waTZ, unakuta mtu yupo radhi alale chini ilimradi tu amiliki simu ya garama kubwa!

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app

Huyo hana akili timamu!
 
Back
Top Bottom