Members wengi wa zamani wa JF walijiunga wakiwa watu wazima kidogo

JF unajiunga ukishakomaa akili
 

Nikicheck majukumu yanaiandamaaaaa,Oya Umri unakwenda.
 
Sio mimi mkuu....

Mimi umri umeenda huhitaji hata kunikimbia ....ninasiku sio nyingi simu gadget yangu ichukuliwe na wenye nguvu.
Sio simu tu hata huyo kimwali wenye nguvu wanakuhesabia tu...πŸ˜‚
 
Huyu KENZY ni kama anakuchukulia poa poa kwenye komenti ,sasa mimi nilitaka umtishe au upange mkutane niwe refa tuone nani mbabe
Unanitafutia kesi ya kupiga mtu mpaka kumtoa meno yote!.
Member wengine mnawaza ugomvi tu!, nyie ndo mnaiharibu jf ya wazee...πŸ˜‚
 
Nikijiunga 2011 kabla sijabadili account ingine nilikua nikiingia nasomaga story tu za uchawa alikua anasimulia mshana πŸ˜€πŸ˜€ hayo mambo mengine nilikua sielew mpka nilipopata faham
 
Unanitafutia kesi ya kupiga mtu mpaka kumtoa meno yote!.
Member wengine mnawaza ugomvi tu!, nyie ndo mnaiharibu jf ya wazee...πŸ˜‚
Mimi mwenyewe mzee kaka ila napenda ngumi ngumi .
Mimi kuna member tulipanga miadi ya kupigana ila mnyetishaji wangu wa habari akasema wamepanga kuja kumi nikatokomea ila angekuja hakika ningewataarifu maana namiliki mikanda ya ngumi kadha wa kadha
 
Huyu haniwezi ...huwa namsoma hapa jukwaani anavyotongoza ma X wangu...najichekea kama Magufuli.
Ukionyesha wapi nimetongoza jf ndo nitaamini nje na hapo hizi ni kelele maana mi nachojua jf sijawahi kutongoza!.
 
Mimi mwenyewe mzee kaka ila napenda ngumi ngumi .
Mimi kuna member tulipanga miadi ya kupigana ila mnyetishaji wangu wa habari akasema wamepanga kuja kumi nikatokomea ila angekuja hakika ningewataarifu maana namiliki mikanda ya ngumi kadha wa kadha
Hamna kitu wewe zee oga kabisa wewe!, si ungeenda na mguu wa kuku..?πŸ˜‚
 

Daaah bhas nimejiunga nikiwa mdogo kiasi. Maana nipo china ya 35 na nimejiunga kwenye hiyo miaka tajwa hapo. Lakin naunga hoja mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…