Members wengi wa zamani wa JF walijiunga wakiwa watu wazima kidogo

Vijana wana machache....

Unamajukumu sawa na ya baba yako? Wakati mimi ndiye nakuwekea ugali mezani!!
Watu hata kuandika kiswahili hawawezi,uje kufanya nini!?.. mwenyewe ntapotea baada miezi miwili
 
mbona kina mshana namshangazi.com wanajirusha tu humu? kazi hawana au
 
Mbona mimi na memba mwenzangu Pascal Mayalla sasa hi tuna turn 60Γ· lakini tunapata wasaa wa kuingia humu mkuu?
 
Mm kuijua n 2011 Sasa n Nina miaka 32 ,na aliyenifanya nijiunge n bro wangu mmoja anapenda sana kusomaa soma ,NAMI pia napenda sana kusoma Sasa nikamuuliza akaniunga, now yy ana miaka 43 πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Kazi na umri ukijumlisha na majukumu uwezi ukawa available muda mwingi.
 
Kweli tushakuwa vibibi na vibabu...ni hadithi na wajukuu tu.
 
Nikijiunga 2011 kabla sijabadili account ingine nilikua nikiingia nasomaga story tu za uchawa alikua anasimulia mshana πŸ˜€πŸ˜€ hayo mambo mengine nilikua sielew mpka nilipopata faham
Hapa unaonekana umejiunga 2021, ina maana jf wengi wamebadili ID na usernames. Angalau hata hiyo 2011 ulikuwa umeshavunja ungo basiπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…