Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,444 Reaction score 110,233 Mar 8, 2017 #1 Aisee Jamii Forum kuna watu wenye majina mabaya (Fake ID), yaani ukiangalia jina ngumu kama mizizi ya dawa za kienyeji. Mengine majina yana kiima na kiarifu. >> KABHILABHIGHAMBO >> CHIKIRA MTABARI >> Malafyale >> Mndali ndanyelakakomu >> Otorong'ong'o >> Bujibuji >> nanyupu <>> Numbisa Yaani majina mengine bwana tabu tupu!! Hebu ongezea yakwako unayoyafahamu......... NB. Hapa ni Chitchat . Povu mwisho la 50
Aisee Jamii Forum kuna watu wenye majina mabaya (Fake ID), yaani ukiangalia jina ngumu kama mizizi ya dawa za kienyeji. Mengine majina yana kiima na kiarifu. >> KABHILABHIGHAMBO >> CHIKIRA MTABARI >> Malafyale >> Mndali ndanyelakakomu >> Otorong'ong'o >> Bujibuji >> nanyupu <>> Numbisa Yaani majina mengine bwana tabu tupu!! Hebu ongezea yakwako unayoyafahamu......... NB. Hapa ni Chitchat . Povu mwisho la 50
Friday Malafyale JF-Expert Member Joined Jan 18, 2017 Posts 1,819 Reaction score 2,950 Mar 8, 2017 #2 Be first to reply ha ha
APEFACE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2016 Posts 6,278 Reaction score 12,584 Mar 8, 2017 #3 APEFACE..............
Malafyale Platinum Member Joined Aug 11, 2008 Posts 13,914 Reaction score 11,330 Mar 8, 2017 #5 Malafyale ikiwa na maana ya MFALME ajaye lina ubaya gani?
9inone JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 774 Reaction score 319 Mar 8, 2017 #6 Du! jina ni jina, mi hapa napita tu.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,403 Reaction score 465,266 Mar 8, 2017 #7 ngoja waje wenye majina yao
Freyzem JF-Expert Member Joined Jun 29, 2013 Posts 10,389 Reaction score 25,291 Mar 8, 2017 #8 Friday Malafyale said: Be first to reply ha ha Click to expand... Nyie ni couple..? Malafyale said: Malafyale ikiwa na maana ya MFALME ajaye lina ubaya gani? Click to expand...
Friday Malafyale said: Be first to reply ha ha Click to expand... Nyie ni couple..? Malafyale said: Malafyale ikiwa na maana ya MFALME ajaye lina ubaya gani? Click to expand...
manchoso JF-Expert Member Joined Jul 27, 2011 Posts 1,605 Reaction score 2,058 Mar 8, 2017 #10 kuna mtu humu anaitwa Ibilisi
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,403 Reaction score 465,266 Mar 8, 2017 #11 Freyzem said: Nyie ni couple..? Click to expand... au watakua ni ndugu [emoji23]
shushushu VIP JF-Expert Member Joined Jul 24, 2016 Posts 4,800 Reaction score 4,322 Mar 8, 2017 #12 Shushushu VIP
SEGUZO JF-Expert Member Joined Sep 30, 2016 Posts 280 Reaction score 198 Mar 8, 2017 #13 Katika majina mazuri, lakwangu ni mojawapo
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,444 Reaction score 110,233 Mar 8, 2017 Thread starter #14 Freyzem said: Nyie ni couple..? Click to expand... Bila shaka hawa ni ndugu
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 25,030 Reaction score 61,298 Mar 8, 2017 #15 Langu LA kitasha
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 62,068 Reaction score 127,679 Mar 8, 2017 #16 Ole wake nione mtu amenitaja
ukhuty JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 16,906 Reaction score 42,078 Mar 8, 2017 #17 ........... naogopa kumtaja
SEGUZO JF-Expert Member Joined Sep 30, 2016 Posts 280 Reaction score 198 Mar 8, 2017 #18 Jina "MPHINGU" ndio ninalo liona kuwa ni baya zaidi.
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,444 Reaction score 110,233 Mar 8, 2017 Thread starter #19 ndege JOHN said: Langu LA kitasha Click to expand... >>Ndege john >>Faru john >>Jesca John Hawa ni ndugu wa baba mmoja
ndege JOHN said: Langu LA kitasha Click to expand... >>Ndege john >>Faru john >>Jesca John Hawa ni ndugu wa baba mmoja
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,444 Reaction score 110,233 Mar 8, 2017 Thread starter #20 SEGUZO said: Jina "MPHINGU" ndio ninalo liona kuwa ni baya zaidi. Click to expand... Mquote tumuone