Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Naona umetimiza ulicho sema janaAisee Jamii Forum kuna watu wenye majina mabaya (Fake ID), yaani ukiangalia jina ngumu kama mizizi ya dawa za kienyeji. Mengine majina yana kiima na kiarifu.
>> KABHILABHIGHAMBO
>> CHIKIRA MTABARI
>> Malafyale
>> Mndali ndanyelakakomu
>> Otorong'ong'o
>> Bujibuji
>> nanyupu
<>> Numbisa
Yaani majina mengine bwana tabu tupu!!
Hebu ongezea yakwako unayoyafahamu.........
NB. Hapa ni Chitchat . Povu mwisho la 50
Watoto WA John pombe sisi>>Ndege john
>>Faru john
>>Jesca John
Hawa ni ndugu wa baba mmoja
Mtaje........... naogopa kumtaja
Nikimtaja nahofia ataniachaMtaje
Au Baba na mwanae....Bila shaka hawa ni ndugu
au watakua ni ndugu [emoji23]
Naona umeamu kusema ukweli nakupa ofa ya kuja mbeya kwa nauli yako ila kuzunguka popote utakapo taka nitalipa mimiHata lako kama dawa ya upele
Akikuacha nitakupa ofa ya kukuombea msamahaNikimtaja nahofia ataniacha
Naomba tafsiri ya hili[emoji28][emoji28]Naatombe
Atakuwa mtu mmoja ana ID mbiliBila shaka hawa ni ndugu
We acha utoto kwani la kwako lina maana ganiJina lako lenyewe ngumu kama dawa ya mtoto.
Eti Ukuti ukuti