Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Naona umetimiza ulicho sema janaAisee Jamii Forum kuna watu wenye majina mabaya (Fake ID), yaani ukiangalia jina ngumu kama mizizi ya dawa za kienyeji. Mengine majina yana kiima na kiarifu.
>> KABHILABHIGHAMBO
>> CHIKIRA MTABARI
>> Malafyale
>> Mndali ndanyelakakomu
>> Otorong'ong'o
>> Bujibuji
>> nanyupu
<>> Numbisa
Yaani majina mengine bwana tabu tupu!!
Hebu ongezea yakwako unayoyafahamu.........
NB. Hapa ni Chitchat . Povu mwisho la 50