Members wenye majina mabaya JF taja unaowafahamu



KWELI NIMEAMINI "GREAT THINKERS" TUMEINGILIWA , TUNALAZIMIKA KUJADILI UZURI/UBAYA WA MAJINA?
 
Wengine ni majina ya kilugha!!! The fact kwamba huelewi maana yake haifanyi yawe majina mabaya. Kizungu si lugha yetu, tuheshimu lugha zetu pia. Yaani nawapenda sana wanaijeria kwa sababu hii! Hawaogopi kumpa mtoto jina la kilugha, na kila mnigeria ana hayo majina wengine tunayaona mabaya.
 
KWELI NIMEAMINI "GREAT THINKERS" TUMEINGILIWA , TUNALAZIMIKA KUJADILI UZURI/UBAYA WA MAJINA?
Hujaitwa wala hujalazimishwa kukomenti, nenda huko kwa Great thinker wenzio tuache sisi.

Kwanza li jina lako lenyewe libaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…