Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kuna mwingine anaitwa FIRAUNIkuna mtu humu anaitwa Ibilisi
Halina ugumu wowote umeamua tu kulitia ugumu wa kimaandishi na kimatamshi pia kwaherJina lako lenyewe ngumu kama dawa ya mtoto.
Eti Ukuti ukuti
hahahah vyote kwa vyote vinawezekanaAu Baba na mwanae....
hataree sijui jamaa kafkiria nini had kujiita vile
Aaaaa huyu huwa hana msamaha kabisaAkikuacha nitakupa ofa ya kukuombea msamaha
Basi sawa[emoji119] [emoji119]Unajua Ukuti ukuti ni mchezo tuliokua tunacheza utotoni
Aisee Jamii Forum kuna watu wenye majina mabaya (Fake ID), yaani ukiangalia jina ngumu kama mizizi ya dawa za kienyeji. Mengine majina yana kiima na kiarifu.
>> KABHILABHIGHAMBO
>> CHIKIRA MTABARI
>> Malafyale
>> Mndali ndanyelakakomu
>> Otorong'ong'o
>> Bujibuji
>> nanyupu
<>> Numbisa
Yaani majina mengine bwana tabu tupu!!
Hebu ongezea yakwako unayoyafahamu.........
NB. Hapa ni Chitchat . Povu mwisho la 50