kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,111
Ndo umekujaMimi.....[emoji39]
Hizi lugha za watu kuwa mpoleUnaona sasa majina yenu yalivyo sasa mm nilijua sentesi
Mkwaju Ngedere hii ni Chit Chat kasome maelezo ya Chit Chat halafu uje na povu lako tenaHujaitwa wala hujalazimishwa kukomenti, nenda huko kwa Great thinker wenzio tuache sisi.
Kwanza li jina lako lenyewe libaya
Kwani wewe ukiona hayo majina unatafsili niniMkuu majina yenu hayo ya mwakifyombe na mwakifyilo
God kabisa mkuu, wanajifanya wana akili wakati ni ma wildbest.. Na u great thinker wao hata njiti ya kibiriti hawaja weza kutengeneza.Mkwaju Ngedere hii ni Chit Chat kasome maelezo ya Chit Chat halafu uje na povu lako tena
na huwezi kuwa great thinker kwa namna hiyo JF ni ya wote nyie GT na sisi makapuku tusio GT
povu mwisho la 50 tu
Mondray achana nae son
Asante kwa kumjibiaLa kiume hahaha
hahaaa
We ni boga auNatafsiri maharage tu maana ndio zenu