Members wenye majina mabaya JF taja unaowafahamu

Members wenye majina mabaya JF taja unaowafahamu

Me yananichekesha yafuatayo hata najiuliza kwanini waliamua kujiita hivi
1. Kiranga
2. Nyani ngabu
3. Jichawi
Hizi ndo tatu bora zangu za majina humu jf
 
Hujaitwa wala hujalazimishwa kukomenti, nenda huko kwa Great thinker wenzio tuache sisi.

Kwanza li jina lako lenyewe libaya
Mkwaju Ngedere hii ni Chit Chat kasome maelezo ya Chit Chat halafu uje na povu lako tena
na huwezi kuwa great thinker kwa namna hiyo JF ni ya wote nyie GT na sisi makapuku tusio GT
povu mwisho la 50 tu
Mondray achana nae son
 
God kabisa mkuu, wanajifanya wana akili wakati ni ma wildbest.. Na u great thinker wao hata njiti ya kibiriti hawaja weza kutengeneza.
Bora mm natengeneza vidono
 
Back
Top Bottom