Members wenye majina mabaya JF taja unaowafahamu

Members wenye majina mabaya JF taja unaowafahamu

Ngoja na yeye basi aje atuambie...
Hamna Malafyale jina la kwanza akaitwa Friday
Huwa hatutumii majina ya kizungu sisi
Bakamu Banganile Onkunda Mposi Akelu Kongisi Bhikokenda Ngelobhuno pa Musi Fijo Okighana ondeke Malafyale

Majina yangu kamili,hamna la kizungu hapo!
 
Hahaha nilikuwa napita hapo shule ya msingi Nkolandoto ndo nikaunga mpaka Maganzo ila Maganzo pamechangamka kimtindo
Wewe mkuu ulikuwa unapita au ulikuwa unaenda kufundisha na akina mwalimu Dotto
 
Back
Top Bottom