Men Talk: Kuhusu Single Mom's

Ukiwa na content nakushauri siku nyingine jifunze kuweka vitu vya maanabkwanza halafu iwe fupi mtindo wa kumvutia msomaji ..


Online readers huwa hatusomi ma paragraph mengi, tuna scan na kuskim chap chap...


Usituchoshe.. tusichoshane ..
 
Yani mkuu hapa ndo umejitahidi kufupisha😁😁, basi unayo mengi umeyaacha🀣🀣🀣🀣
Ka PDF kakubwa kidogo...
Ila nna mengi sio utani
 

Men like to control women waliowahi kuwa nao kwenye mahusiano. Akiona mwanamke aliyemzalisha yuko na mtu mwingine hapendi hata kama yeye mwenyewe hamtaki. It’s about men’s selfishness and controlling behavior, nothing more nothing less. Yeye hakutaki, akikuona upo na mwingine pia hataki [emoji848][emoji848].
 
Yaani wanawake ni viumbe dhaifu ndio maana wakiombwa wanatoa!? Basi sawa,naona mleta uzi hujawajua vizuri wanawake na wanaume. Haswa hao single mamas,Wana mengi hujayajua achilia mbali hizo stori unazozisikia vijiweni.
 
Yaani wanawake ni viumbe dhaifu ndio maana wakiombwa wanatoa!? Basi sawa,naona mleta uzi hujawajua vizuri wanawake na wanaume. Haswa hao single mamas,Wana mengi hujayajua achilia mbali hizo stori unazozisikia vijiweni.
Tuwekee hapa mkuu, kikao cha wanaume hiki.
 

Kama mwanaume ukiamua kuwa na single maza lazima ujue upaende wa pili kunani. Kwa mfano: nilizaa na mtu na hakuwa na interest ya kunioa, anahudumia mtoto wake, na malezi ya baba na mama remotely yapo, sidhani kama wewe unayekuja na nia ya kunioa nitaacha kukwambia huu ukweli. Kibaya zaidi, kama mtu anahudumia familia, that means ana ubia hapo.

Akitahitaji mwanae atakuja kumchukua aende nae na amrudishe, lazima kuna discussoin za maendelea ya mtoto darasani hayo yote ni baba na mama na huo ndio ukweli. Kwa mwanaume hii ni threat, ni vizuri kabla ya kuoa single maza ukafanya uchunguguzi wa kina ili ujue kama hayo mapigo utayaweza au la.
 
Caroline Danzi#
1. Binafsi nafikiri ukiona mwanaume anatunza mtoto wake bila kuvutana, hapa mara nyingi sana mwanamke ndo alimzingua jamaa
2. Sas me nmejaribu kulenga wanaume wazinguaji, mara nyingi ni wababaishaji sana kwenye malezi, lakin huyo mama mtoto akipata mtu sasa ndo wanapenda kujileta front na mikakati ya kula matunda.. Ndo nawauliza hawaoni kuwa wanafanya jambo baya!
 
Huu uzi mzuri hivi mbona haujapewa haki ipasavyo au kwasababu muwakilishi ni kidume?
 
Umesema kweli
 
Tatizo ni mwanamke aliyeumizwa kutotambua thamani ya mwili wake na kurudi kumwagiwa mauchafu na alimuumiza.yaan tunajiabisha sana
 


Wenyewe wanaita co-parenting 😁
Wallah kuwa na mtu mwenye mtoto ni kama uko na mpenzi wa mtu...
 
Umeandika vizuri sana ila hapo kwny mwanamke kukubali kuliwa tu. Huo ni upuuzi wake narudia tena ni upuuzi wake. We mtu kakuona umepata mume anajileta, ntakumwagia maj ya ukoko mm. Siku zote ulikuwa wap nna mtu ujilete he he he thubutu!!!. Huyo mwanaume wa kunithamini wakati mi ni single mother hayo mapenz ntampa hadi homa itakua hainitoki πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„
 
Ahlan wa sahlan

Katika ulimwengu wa sasa hawa kina dada na kina mama wanaolea watoto peke yao wanahitaji sana wanaume ambao kwanza watahakikisha wanaweza kuwatunza wao na watoto zao kuliko kuwapenda .

Mwanamke huwa anampenda sana mwanaume aliyempatia watoto ila kutokana na sababu za hapa na pale zinazopelekea mahusiano hayo ya kwanza kufa huwa ule moyo wao wa kupenda kama mwanzo nao unapotea hivyo katika mahusiano yanayofuata huwa wanaangalia sana mwanaume ambae anaweza kuwahudumia wao na watoto.

Kama huna uwezo au pesa ya kumtunza sungle mother na mwanawe/wanawawe nakushauri usijaribu kudate nao maana uhusiano wake na yeye hautakuwa na matunda yoyote yale.
 
Mkuu yamekukuta nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…