Men Talk: Kuhusu Single Mom's

Men Talk: Kuhusu Single Mom's

Ukiwa na content nakushauri siku nyingine jifunze kuweka vitu vya maanabkwanza halafu iwe fupi mtindo wa kumvutia msomaji ..

Online readers huwa hatusomi ma paragraph mengi, tuna scan na kuskim chap chap...

Usituchoshe.. tusichoshane ..
 
Habari MMU

Niaendee moja kwa moja na hoja yangu,

Nimekuwa nikiona nyuzi nyingi sana kwenye mitandao, nimeskia stories vilingeni na kushuhudia baadhi ya mikasa kuhusiana na hawa dada zetu. Kote huko comments kutoka kwa wanaume huwa ni mbaya tu, kejeli , matusi na lawama nyingi sana, Wakati akina dada wengi huishia ku-comment tu kwamba ‘sio wote’.. Imefika mahali hata maazimio yamepitishwa huko kuwa hakuna kuoa Singlemom . Its Ok!
Sasa sababu kubwa zaidi na kipekee inayotajwa ya kuwaepuka, ni uwezekano mkubwa wa huyo mwanamke kupasha kiporo na baba wa m(wa)toto wake. Na hapa ndo msingi wa hoja yangu kuongea na wewe mwanaume.

Hivi wewe umempa mwanamke mimba na ukaikataa, au ukamtelekeza iwe kabla au baada ya mtoto kuzaliwa kwasababu zako tu na most ni kwamba ‘Hakuwa chaguo langu, siwezi kumuoa!’. Umemwacha huyo mama wa mwanao akateseka, akapanda, akashuka ili akutunzie mtoto wako. Tena umepewa na nafasi ya upendeleo ya kutambulika kama baba na kupewa ubin wa mtoto ambae humuhangaikii, wakati mwingine hutaki kuona hata simu ya mamake kuhusiana na huyo mtoto, uko bize either na mwanamke mwingine unae hisi unampenda. Inafika mahali huyo mwanamke anakata tama na wewe, na ikitokea kama bahati akapata Mwanaume mwingine ambae ameonesha upendo wa dhati anaamua kumchukua yeye na kumtunza mtoto wako wewe. Sasa;

Nashindwa kujua ni nini huwa kinatokea unaanza kumuona kama huyo mwanamke ni mzuri sana au anafaa sana mpaka unashindwa kuthamini mchango wa mwanaume mwezio kwako kupitia mwanao uliyemtelekeza, na kuamua kupitia kwa huyo huyo mtoto kama njia ya kumvunjia Mwana heshima aliyokupa na unaamua kutumia udhaifu wa mwanamke wake kwako kujiburudisha bila aibu?

Ukiwa unajua kabisa huyo mama mtoto akiachika kwa mume wake huwezi kumuoa wewe, huoni hata mtoto wako ndo atakaye rudi kwenye mateso kwa makosa yako ya mara nyingine kama ukisababisha akaachwa na huyo mwanaume?

Kuna wanawake wangapi mtaani ambao ungeweza kutoka nao hadi unaamua kwenda ku risk mahusiano ya mtu ambae ulisha vuruga utaratibu wake wa maisha kabla?

Wakati mwingine unaweza kuwa hata umeoa mwanamke uliyeona kwamba ni Perfect match kwako, kwanini uhangaike tena na Yule uliyemuona wa kazi gani?

Hata kama amejirahisisha kwako , unahisi kum deny kutabadilisha jinsia yako? Man Up!.

Mahusiano mengi ya Single Mom’s yamekuwa magumu sana coz Single Dad’s wao wanawavizia kipindi wakipata mahali pa uhakika pa kujishikiza ndo na wao wanaanza kujitokeza na kujifanya wanajali watoto wao kumbe wanamuwinda mama mtoto. Mbaya zaidi wanaweza kuwakatili tena wanaume waliowabebea mzigo wao kwa kuzaa watoto wengine na hao baby mamaz na kumshikisha ‘Bwege’ mwenye kosa moja tu la Kupenda. (Japo wanawake na wao sijui akili wanashikiwaga na nani!)

Wito kwa Wanaume: Achana na wake wa watu; Hata kama mliwahi kuwa na mahusiano nao kabla. Zaidi Kuwa Responsible. Imetokea umempa binti mimba, jitahidi lea mwanao. Nenda hata ukaibe ila usiwe baba jina. Unaweza ukafurahi saivi kula tunda kimasihara kwa mama mtoto ila Trust me! Huyo mwanamke akili yake itakuja kukaa sawa huko mbeleni, na wakati huo mtoto atakuwa mkubwa na utakuwa unamuhitaji, alafu Utajua ulikuwa Hujui!

Please! Msaidie mwanamke ambae huna future nae lakini bahati mlijaliwa kuwa na mtoto kwa KUMUACHA, maana naona kama wao wameshindwa kuheshimu fadhila, Ebu muepuke tu, Weka mipaka. Jivalishe viatu vya mume wake uone unavyokosea kutafuna mke wake hata kama alikuwa demu wako. Ikiwezekana usiwasiliane na huyo mwanamke kuhusu mtoto, wasiliana na huyo baba mlezi wa mwanao

Mwisho, wanaume tuwe na nidhamu na miili yetu, sisi ni Cheap sanaaa! Kwa kigezo cha kujiona ndo uanaume. Huwezi kumaliza wanawake wote !, Ebu jiamini bwana, wewe ni kiumbe hadimu lakini Tunakuwa wadhaifu sana mpaka kudharaulika. Tunashindwa kirahisi sana kwenye jambo lolote lile as far as Papuchi inakuwa concerned. Ndio maana ndoa nyingi mno wanaume wanateseka vile hawasemi. Ambacho hatujui ni kwamba tunatesana zaidi wanaume kwa wanaume kupitia wake zetu tu, ambao hata Maandiko yanatuambia ni Vyombo Dhaifu(Usi wa underestimate lakini, huo udhaifu unaosemwa una mipaka!)​

"The World Is full of Guys, be a MAN"

Men like to control women waliowahi kuwa nao kwenye mahusiano. Akiona mwanamke aliyemzalisha yuko na mtu mwingine hapendi hata kama yeye mwenyewe hamtaki. It’s about men’s selfishness and controlling behavior, nothing more nothing less. Yeye hakutaki, akikuona upo na mwingine pia hataki [emoji848][emoji848].
 
Yaani wanawake ni viumbe dhaifu ndio maana wakiombwa wanatoa!? Basi sawa,naona mleta uzi hujawajua vizuri wanawake na wanaume. Haswa hao single mamas,Wana mengi hujayajua achilia mbali hizo stori unazozisikia vijiweni.
 
Tuwekee hapa mkuu, kikao cha wanaume hiki.
 
Habari MMU

Niaendee moja kwa moja na hoja yangu,

Nimekuwa nikiona nyuzi nyingi sana kwenye mitandao, nimeskia stories vilingeni na kushuhudia baadhi ya mikasa kuhusiana na hawa dada zetu. Kote huko comments kutoka kwa wanaume huwa ni mbaya tu, kejeli , matusi na lawama nyingi sana, Wakati akina dada wengi huishia ku-comment tu kwamba ‘sio wote’.. Imefika mahali hata maazimio yamepitishwa huko kuwa hakuna kuoa Singlemom . Its Ok!
Sasa sababu kubwa zaidi na kipekee inayotajwa ya kuwaepuka, ni uwezekano mkubwa wa huyo mwanamke kupasha kiporo na baba wa m(wa)toto wake. Na hapa ndo msingi wa hoja yangu kuongea na wewe mwanaume.

Hivi wewe umempa mwanamke mimba na ukaikataa, au ukamtelekeza iwe kabla au baada ya mtoto kuzaliwa kwasababu zako tu na most ni kwamba ‘Hakuwa chaguo langu, siwezi kumuoa!’. Umemwacha huyo mama wa mwanao akateseka, akapanda, akashuka ili akutunzie mtoto wako. Tena umepewa na nafasi ya upendeleo ya kutambulika kama baba na kupewa ubin wa mtoto ambae humuhangaikii, wakati mwingine hutaki kuona hata simu ya mamake kuhusiana na huyo mtoto, uko bize either na mwanamke mwingine unae hisi unampenda. Inafika mahali huyo mwanamke anakata tama na wewe, na ikitokea kama bahati akapata Mwanaume mwingine ambae ameonesha upendo wa dhati anaamua kumchukua yeye na kumtunza mtoto wako wewe. Sasa;

Nashindwa kujua ni nini huwa kinatokea unaanza kumuona kama huyo mwanamke ni mzuri sana au anafaa sana mpaka unashindwa kuthamini mchango wa mwanaume mwezio kwako kupitia mwanao uliyemtelekeza, na kuamua kupitia kwa huyo huyo mtoto kama njia ya kumvunjia Mwana heshima aliyokupa na unaamua kutumia udhaifu wa mwanamke wake kwako kujiburudisha bila aibu?

Ukiwa unajua kabisa huyo mama mtoto akiachika kwa mume wake huwezi kumuoa wewe, huoni hata mtoto wako ndo atakaye rudi kwenye mateso kwa makosa yako ya mara nyingine kama ukisababisha akaachwa na huyo mwanaume?

Kuna wanawake wangapi mtaani ambao ungeweza kutoka nao hadi unaamua kwenda ku risk mahusiano ya mtu ambae ulisha vuruga utaratibu wake wa maisha kabla?

Wakati mwingine unaweza kuwa hata umeoa mwanamke uliyeona kwamba ni Perfect match kwako, kwanini uhangaike tena na Yule uliyemuona wa kazi gani?

Hata kama amejirahisisha kwako , unahisi kum deny kutabadilisha jinsia yako? Man Up!.

Mahusiano mengi ya Single Mom’s yamekuwa magumu sana coz Single Dad’s wao wanawavizia kipindi wakipata mahali pa uhakika pa kujishikiza ndo na wao wanaanza kujitokeza na kujifanya wanajali watoto wao kumbe wanamuwinda mama mtoto. Mbaya zaidi wanaweza kuwakatili tena wanaume waliowabebea mzigo wao kwa kuzaa watoto wengine na hao baby mamaz na kumshikisha ‘Bwege’ mwenye kosa moja tu la Kupenda. (Japo wanawake na wao sijui akili wanashikiwaga na nani!)

Wito kwa Wanaume: Achana na wake wa watu; Hata kama mliwahi kuwa na mahusiano nao kabla. Zaidi Kuwa Responsible. Imetokea umempa binti mimba, jitahidi lea mwanao. Nenda hata ukaibe ila usiwe baba jina. Unaweza ukafurahi saivi kula tunda kimasihara kwa mama mtoto ila Trust me! Huyo mwanamke akili yake itakuja kukaa sawa huko mbeleni, na wakati huo mtoto atakuwa mkubwa na utakuwa unamuhitaji, alafu Utajua ulikuwa Hujui!

Please! Msaidie mwanamke ambae huna future nae lakini bahati mlijaliwa kuwa na mtoto kwa KUMUACHA, maana naona kama wao wameshindwa kuheshimu fadhila, Ebu muepuke tu, Weka mipaka. Jivalishe viatu vya mume wake uone unavyokosea kutafuna mke wake hata kama alikuwa demu wako. Ikiwezekana usiwasiliane na huyo mwanamke kuhusu mtoto, wasiliana na huyo baba mlezi wa mwanao

Mwisho, wanaume tuwe na nidhamu na miili yetu, sisi ni Cheap sanaaa! Kwa kigezo cha kujiona ndo uanaume. Huwezi kumaliza wanawake wote !, Ebu jiamini bwana, wewe ni kiumbe hadimu lakini Tunakuwa wadhaifu sana mpaka kudharaulika. Tunashindwa kirahisi sana kwenye jambo lolote lile as far as Papuchi inakuwa concerned. Ndio maana ndoa nyingi mno wanaume wanateseka vile hawasemi. Ambacho hatujui ni kwamba tunatesana zaidi wanaume kwa wanaume kupitia wake zetu tu, ambao hata Maandiko yanatuambia ni Vyombo Dhaifu(Usi wa underestimate lakini, huo udhaifu unaosemwa una mipaka!)​

"The World Is full of Guys, be a MAN"

Kama mwanaume ukiamua kuwa na single maza lazima ujue upaende wa pili kunani. Kwa mfano: nilizaa na mtu na hakuwa na interest ya kunioa, anahudumia mtoto wake, na malezi ya baba na mama remotely yapo, sidhani kama wewe unayekuja na nia ya kunioa nitaacha kukwambia huu ukweli. Kibaya zaidi, kama mtu anahudumia familia, that means ana ubia hapo.

Akitahitaji mwanae atakuja kumchukua aende nae na amrudishe, lazima kuna discussoin za maendelea ya mtoto darasani hayo yote ni baba na mama na huo ndio ukweli. Kwa mwanaume hii ni threat, ni vizuri kabla ya kuoa single maza ukafanya uchunguguzi wa kina ili ujue kama hayo mapigo utayaweza au la.
 
Caroline Danzi#
1. Binafsi nafikiri ukiona mwanaume anatunza mtoto wake bila kuvutana, hapa mara nyingi sana mwanamke ndo alimzingua jamaa
2. Sas me nmejaribu kulenga wanaume wazinguaji, mara nyingi ni wababaishaji sana kwenye malezi, lakin huyo mama mtoto akipata mtu sasa ndo wanapenda kujileta front na mikakati ya kula matunda.. Ndo nawauliza hawaoni kuwa wanafanya jambo baya!
 
Habari MMU

Niaendee moja kwa moja na hoja yangu,

Nimekuwa nikiona nyuzi nyingi sana kwenye mitandao, nimeskia stories vilingeni na kushuhudia baadhi ya mikasa kuhusiana na hawa dada zetu. Kote huko comments kutoka kwa wanaume huwa ni mbaya tu, kejeli , matusi na lawama nyingi sana, Wakati akina dada wengi huishia ku-comment tu kwamba ‘sio wote’.. Imefika mahali hata maazimio yamepitishwa huko kuwa hakuna kuoa Singlemom . Its Ok!
Sasa sababu kubwa zaidi na kipekee inayotajwa ya kuwaepuka, ni uwezekano mkubwa wa huyo mwanamke kupasha kiporo na baba wa m(wa)toto wake. Na hapa ndo msingi wa hoja yangu kuongea na wewe mwanaume.

Hivi wewe umempa mwanamke mimba na ukaikataa, au ukamtelekeza iwe kabla au baada ya mtoto kuzaliwa kwasababu zako tu na most ni kwamba ‘Hakuwa chaguo langu, siwezi kumuoa!’. Umemwacha huyo mama wa mwanao akateseka, akapanda, akashuka ili akutunzie mtoto wako. Tena umepewa na nafasi ya upendeleo ya kutambulika kama baba na kupewa ubin wa mtoto ambae humuhangaikii, wakati mwingine hutaki kuona hata simu ya mamake kuhusiana na huyo mtoto, uko bize either na mwanamke mwingine unae hisi unampenda. Inafika mahali huyo mwanamke anakata tama na wewe, na ikitokea kama bahati akapata Mwanaume mwingine ambae ameonesha upendo wa dhati anaamua kumchukua yeye na kumtunza mtoto wako wewe. Sasa;

Nashindwa kujua ni nini huwa kinatokea unaanza kumuona kama huyo mwanamke ni mzuri sana au anafaa sana mpaka unashindwa kuthamini mchango wa mwanaume mwezio kwako kupitia mwanao uliyemtelekeza, na kuamua kupitia kwa huyo huyo mtoto kama njia ya kumvunjia Mwana heshima aliyokupa na unaamua kutumia udhaifu wa mwanamke wake kwako kujiburudisha bila aibu?

Ukiwa unajua kabisa huyo mama mtoto akiachika kwa mume wake huwezi kumuoa wewe, huoni hata mtoto wako ndo atakaye rudi kwenye mateso kwa makosa yako ya mara nyingine kama ukisababisha akaachwa na huyo mwanaume?

Kuna wanawake wangapi mtaani ambao ungeweza kutoka nao hadi unaamua kwenda ku risk mahusiano ya mtu ambae ulisha vuruga utaratibu wake wa maisha kabla?

Wakati mwingine unaweza kuwa hata umeoa mwanamke uliyeona kwamba ni Perfect match kwako, kwanini uhangaike tena na Yule uliyemuona wa kazi gani?

Hata kama amejirahisisha kwako , unahisi kum deny kutabadilisha jinsia yako? Man Up!.

Mahusiano mengi ya Single Mom’s yamekuwa magumu sana coz Single Dad’s wao wanawavizia kipindi wakipata mahali pa uhakika pa kujishikiza ndo na wao wanaanza kujitokeza na kujifanya wanajali watoto wao kumbe wanamuwinda mama mtoto. Mbaya zaidi wanaweza kuwakatili tena wanaume waliowabebea mzigo wao kwa kuzaa watoto wengine na hao baby mamaz na kumshikisha ‘Bwege’ mwenye kosa moja tu la Kupenda. (Japo wanawake na wao sijui akili wanashikiwaga na nani!)

Wito kwa Wanaume: Achana na wake wa watu; Hata kama mliwahi kuwa na mahusiano nao kabla. Zaidi Kuwa Responsible. Imetokea umempa binti mimba, jitahidi lea mwanao. Nenda hata ukaibe ila usiwe baba jina. Unaweza ukafurahi saivi kula tunda kimasihara kwa mama mtoto ila Trust me! Huyo mwanamke akili yake itakuja kukaa sawa huko mbeleni, na wakati huo mtoto atakuwa mkubwa na utakuwa unamuhitaji, alafu Utajua ulikuwa Hujui!

Please! Msaidie mwanamke ambae huna future nae lakini bahati mlijaliwa kuwa na mtoto kwa KUMUACHA, maana naona kama wao wameshindwa kuheshimu fadhila, Ebu muepuke tu, Weka mipaka. Jivalishe viatu vya mume wake uone unavyokosea kutafuna mke wake hata kama alikuwa demu wako. Ikiwezekana usiwasiliane na huyo mwanamke kuhusu mtoto, wasiliana na huyo baba mlezi wa mwanao

Mwisho, wanaume tuwe na nidhamu na miili yetu, sisi ni Cheap sanaaa! Kwa kigezo cha kujiona ndo uanaume. Huwezi kumaliza wanawake wote !, Ebu jiamini bwana, wewe ni kiumbe hadimu lakini Tunakuwa wadhaifu sana mpaka kudharaulika. Tunashindwa kirahisi sana kwenye jambo lolote lile as far as Papuchi inakuwa concerned. Ndio maana ndoa nyingi mno wanaume wanateseka vile hawasemi. Ambacho hatujui ni kwamba tunatesana zaidi wanaume kwa wanaume kupitia wake zetu tu, ambao hata Maandiko yanatuambia ni Vyombo Dhaifu(Usi wa underestimate lakini, huo udhaifu unaosemwa una mipaka!)​

"The World Is full of Guys, be a MAN"
Huu uzi mzuri hivi mbona haujapewa haki ipasavyo au kwasababu muwakilishi ni kidume?
 
Umeongea vyema. Ila naomba nitie neno kidogo.

Mahusiano mwngi ya single moms na baby daddies wao yanaisha ikiwa tu mwanamke ndiye ameaua yaishe. Ni single daddies wachache sana ambao wanaweza wakawachomolea baby mommas's zao wakiwataka (mfano Sugu na Fiza), tena usiombe huyo baby momma awe kamzalia kabinti ndiyo kabisaaaa.

Ukiona baby momma kutwa kucha baba fulani, sijui mara atume meseji za kumchekesha, mara baba fulani naumwa, mara sijui nimepiga chafya; Ikitokea shughuli/msiba kwa kina baby daddy yeye ndiyo wa kwanza kufika, na atafanyeje kazi; kimbia fasta . Hajamove on kwa baby daddy na ndiyo hao ambao hata wakiolewa bado watabeba na mimba za baby daddy. Na kuna wale tegemezi, wanaohisi hawawezi kujihudumia wenyewe so wataendelea kulala na baby daddies wao as long as salio linaingia

Jamani baby momma aliyemove on, hata akiwa single, awe hana pesa; the way atabehave na baby daddy wake ni seriously kuhusu mtoto. Sasa akipata mume, kastirika ndoani, ndiyo wale hata mawasiliano na baby daddy yanapitia kwa mume. Hatotaka mume wake apate wasiwasi kabisa.

So kwa hapa, naomba nisiwalaumu sana baby daddies maana hawaendi kuwabaka hao baby mommas wao; ni wao wenyewe ndiyo wanataka. Trust me, hakuna single mom atakayekubali kijinga kijinga eti baby daddy amuharibie ndoa yake, unless yeye mwenyewe ametaka kwa upumbavu wake. Aliyepo ndoani ndiyo ana wajibu wa kuilinda ndoa yake, na sio utegemee huruma ya 3rd party kukulindia ndoa yako.
Umesema kweli
 
Tatizo ni mwanamke aliyeumizwa kutotambua thamani ya mwili wake na kurudi kumwagiwa mauchafu na alimuumiza.yaan tunajiabisha sana
 
Screenshot_20210514-180317.png

Wenyewe wanaita co-parenting 😁
Wallah kuwa na mtu mwenye mtoto ni kama uko na mpenzi wa mtu...
 
Umeandika vizuri sana ila hapo kwny mwanamke kukubali kuliwa tu. Huo ni upuuzi wake narudia tena ni upuuzi wake. We mtu kakuona umepata mume anajileta, ntakumwagia maj ya ukoko mm. Siku zote ulikuwa wap nna mtu ujilete he he he thubutu!!!. Huyo mwanaume wa kunithamini wakati mi ni single mother hayo mapenz ntampa hadi homa itakua hainitoki 😄 😄 😄
 
Ahlan wa sahlan

Katika ulimwengu wa sasa hawa kina dada na kina mama wanaolea watoto peke yao wanahitaji sana wanaume ambao kwanza watahakikisha wanaweza kuwatunza wao na watoto zao kuliko kuwapenda .

Mwanamke huwa anampenda sana mwanaume aliyempatia watoto ila kutokana na sababu za hapa na pale zinazopelekea mahusiano hayo ya kwanza kufa huwa ule moyo wao wa kupenda kama mwanzo nao unapotea hivyo katika mahusiano yanayofuata huwa wanaangalia sana mwanaume ambae anaweza kuwahudumia wao na watoto.

Kama huna uwezo au pesa ya kumtunza sungle mother na mwanawe/wanawawe nakushauri usijaribu kudate nao maana uhusiano wake na yeye hautakuwa na matunda yoyote yale.
 
Mkuu yamekukuta nn?
 
Back
Top Bottom