G.Man
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 1,040
- 2,157
Habari MMU
Niaendee moja kwa moja na hoja yangu,
"The World Is full of Guys, be a MAN"
Niaendee moja kwa moja na hoja yangu,
Nimekuwa nikiona nyuzi nyingi sana kwenye mitandao, nimeskia stories vilingeni na kushuhudia baadhi ya mikasa kuhusiana na hawa dada zetu. Kote huko comments kutoka kwa wanaume huwa ni mbaya tu, kejeli , matusi na lawama nyingi sana, Wakati akina dada wengi huishia ku-comment tu kwamba ‘sio wote’.. Imefika mahali hata maazimio yamepitishwa huko kuwa hakuna kuoa Singlemom . Its Ok!
Sasa sababu kubwa zaidi na kipekee inayotajwa ya kuwaepuka, ni uwezekano mkubwa wa huyo mwanamke kupasha kiporo na baba wa m(wa)toto wake. Na hapa ndo msingi wa hoja yangu kuongea na wewe mwanaume.
Hivi wewe umempa mwanamke mimba na ukaikataa, au ukamtelekeza iwe kabla au baada ya mtoto kuzaliwa kwasababu zako tu na most ni kwamba ‘Hakuwa chaguo langu, siwezi kumuoa!’. Umemwacha huyo mama wa mwanao akateseka, akapanda, akashuka ili akutunzie mtoto wako. Tena umepewa na nafasi ya upendeleo ya kutambulika kama baba na kupewa ubin wa mtoto ambae humuhangaikii, wakati mwingine hutaki kuona hata simu ya mamake kuhusiana na huyo mtoto, uko bize either na mwanamke mwingine unae hisi unampenda. Inafika mahali huyo mwanamke anakata tama na wewe, na ikitokea kama bahati akapata Mwanaume mwingine ambae ameonesha upendo wa dhati anaamua kumchukua yeye na kumtunza mtoto wako wewe. Sasa;
Nashindwa kujua ni nini huwa kinatokea unaanza kumuona kama huyo mwanamke ni mzuri sana au anafaa sana mpaka unashindwa kuthamini mchango wa mwanaume mwezio kwako kupitia mwanao uliyemtelekeza, na kuamua kupitia kwa huyo huyo mtoto kama njia ya kumvunjia Mwana heshima aliyokupa na unaamua kutumia udhaifu wa mwanamke wake kwako kujiburudisha bila aibu?
Ukiwa unajua kabisa huyo mama mtoto akiachika kwa mume wake huwezi kumuoa wewe, huoni hata mtoto wako ndo atakaye rudi kwenye mateso kwa makosa yako ya mara nyingine kama ukisababisha akaachwa na huyo mwanaume?
Kuna wanawake wangapi mtaani ambao ungeweza kutoka nao hadi unaamua kwenda ku risk mahusiano ya mtu ambae ulisha vuruga utaratibu wake wa maisha kabla?
Wakati mwingine unaweza kuwa hata umeoa mwanamke uliyeona kwamba ni Perfect match kwako, kwanini uhangaike tena na Yule uliyemuona wa kazi gani?
Hata kama amejirahisisha kwako , unahisi kum deny kutabadilisha jinsia yako? Man Up!.
Mahusiano mengi ya Single Mom’s yamekuwa magumu sana coz Single Dad’s wao wanawavizia kipindi wakipata mahali pa uhakika pa kujishikiza ndo na wao wanaanza kujitokeza na kujifanya wanajali watoto wao kumbe wanamuwinda mama mtoto. Mbaya zaidi wanaweza kuwakatili tena wanaume waliowabebea mzigo wao kwa kuzaa watoto wengine na hao baby mamaz na kumshikisha ‘Bwege’ mwenye kosa moja tu la Kupenda. (Japo wanawake na wao sijui akili wanashikiwaga na nani!)
Wito kwa Wanaume: Achana na wake wa watu; Hata kama mliwahi kuwa na mahusiano nao kabla. Zaidi Kuwa Responsible. Imetokea umempa binti mimba, jitahidi lea mwanao. Nenda hata ukaibe ila usiwe baba jina. Unaweza ukafurahi saivi kula tunda kimasihara kwa mama mtoto ila Trust me! Huyo mwanamke akili yake itakuja kukaa sawa huko mbeleni, na wakati huo mtoto atakuwa mkubwa na utakuwa unamuhitaji, alafu Utajua ulikuwa Hujui!
Please! Msaidie mwanamke ambae huna future nae lakini bahati mlijaliwa kuwa na mtoto kwa KUMUACHA, maana naona kama wao wameshindwa kuheshimu fadhila, Ebu muepuke tu, Weka mipaka. Jivalishe viatu vya mume wake uone unavyokosea kutafuna mke wake hata kama alikuwa demu wako. Ikiwezekana usiwasiliane na huyo mwanamke kuhusu mtoto, wasiliana na huyo baba mlezi wa mwanao
Mwisho, wanaume tuwe na nidhamu na miili yetu, sisi ni Cheap sanaaa! Kwa kigezo cha kujiona ndo uanaume. Huwezi kumaliza wanawake wote !, Ebu jiamini bwana, wewe ni kiumbe hadimu lakini Tunakuwa wadhaifu sana mpaka kudharaulika. Tunashindwa kirahisi sana kwenye jambo lolote lile as far as Papuchi inakuwa concerned. Ndio maana ndoa nyingi mno wanaume wanateseka vile hawasemi. Ambacho hatujui ni kwamba tunatesana zaidi wanaume kwa wanaume kupitia wake zetu tu, ambao hata Maandiko yanatuambia ni Vyombo Dhaifu(Usi wa underestimate lakini, huo udhaifu unaosemwa una mipaka!)