Men Talk: Kuhusu Single Mom's

Men Talk: Kuhusu Single Mom's

Bro single mother wanakuwa wamepigwa limbwata na baba wa mtoto unamuhudumia fresh msela akituma text moja tu huyo ex wake kashamnasa
 
Aliyewadanganya ukizaa na mwanaume ndio unampenda sana nani????
 
Ahlan wa sahlan

Katika ulimwengu wa sasa hawa kina dada na kina mama wanaolea watoto peke yao wanahitaji sana wanaume ambao kwanza watahakikisha wanaweza kuwatunza wao na watoto zao kuliko kuwapenda .

Mwanamke huwa anampenda sana mwanaume aliyempatia watoto ila kutokana na sababu za hapa na pale zinazopelekea mahusiano hayo ya kwanza kufa huwa ule moyo wao wa kupenda kama mwanzo nao unapotea hivyo katika mahusiano yanayofuata huwa wanaangalia sana mwanaume ambae anaweza kuwahudumia wao na watoto.

Kama huna uwezo au pesa ya kumtunza sungle mother na mwanawe/wanawawe nakushauri usijaribu kudate nao maana uhusiano wake na yeye hautakuwa na matunda yoyote yale.
Go for single mother only when you ur desperate with out an alternative, otherwise its hell......
 
Kwanini nihudumie mwanamke aliyezalishwa na kidume kingine ,...watoto wabichi bikra wapo kila Kona nianze kuhangaika na hao singo Maza walioshindikana ndani ya nyumba ,mtaani Hadi mtaa mzima
afu cha ajabu unawasema shangazi zako.
 
Back
Top Bottom