Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Kdg mko sawa..
Sasa hata msiongeleee waganga maana hawa ndo babu tale anajivunia..jamaa mshirikina kishenzi halafu liive yani chuma kinaona sifa kabisa wala sio siri.kwa waliokuwa kkuwa naye karibu wanamjua..swala hapa Diamond alikuwa managed na jamaa mwarabu aliyemtengenezea nataka kulewa video..jamaa sijui ikawaje..Topic hapa ni kwamba huyu jamaa zaidi ya uswahili swahili na fitna za hapabna pale ambazo zimetawala biashara ya entertainment hakuna cha maana..jama sio kwamba kashawai mfikisha msanii wowot juu..manzese crew hakuna wote wana hit songs tu..sasa kinachoshangaza eti yeye ndo kamfikisha diamond juu how?dogo tayari alikiwa ana sold out shows,ana hit songs zaidi ya kumi..me nachoona hapa nikupena kiki tu jamaa..anachojua ni uswahili tu..kama vile kumpelekea gari mama mzazi ili media irushe..mtu sio producer sio Dj sio music mogul basi ata mtu aliyefanya kazi redioni eti namkalili "babu tale anajua nyimbo gani nzuri ipi ita hit"-Suma lee.hawa jamaa wamekalili vibaya..jamaa fitna anatumiwa na mawingu kwenye project zao..kuna watu kama taji liundi,Jd matloue
Master j,pfunk,na wengine wengi wenye mchango mkubwa kwenye muziki wa tz ila huyu mtu ambaye aliigiza sauti na kuitwa babu hamna kitu..
hahaha bado nahitaji ufafanuzi
hawa kina talle familia nzima wajanja wajanja na wana upepo flani wa kukamata line za pesa!...personally namkubali mchezo anaocheza ambao wengi umewashinda!
na huyu Mkubwa fela na yeye ni nani?
Hii ndio sababu iliyofanya Diamond agombane na papaa misifa.. ingia hapa ujisomee full data
NASEEB ABDUL (DIAMOND) MATATANI MARA BAADA YA PAPAA MISIFA KUMFUNGULIA KESI | PRO-24
Wadau leo namzungumzia huyu mtu anaitwa Babu Tale, amekuwa akijichukulia sifa kwa madai kwamba ndo anayewapeleka artists kwenye next lever na kwamba ndo sababu za almasi kuwa juu kwa jitihada za huyu.
Haya kwanza nachoshindwa kuelewa huyu Diamond kampeleka next leve alikuwa tayari yuko juu au amemtoa kwenye mbagala? Maana alikuwa wapi huyu mtu?
Na amekuwa akijichukulia sifa kwamba ndiye aliyemweka dogo juu, how? nahisi hii ni project ya wawingu kumweka huyu mtu sawa akiwafisadi wasanii kwa niaba.
Jamaa nachojua mimi mazense haijawai kupata mafaniniko yoyote ya kujiweka kwenye nafasi anayojiweka, jamaa ana deal kiswahili swahili sana, jamaa kajiweka in a way kwamba bila yeye msanii hatoki nyimbo zake hazipigwi na huyu mtu akisema diamond perfome basi dogo hafanyi kitu kwa style hizi sanaa yetu itafika kweli?
papaa Msofe........ walishindwana au ilikuwaje??
yeah walishindwana kabisa sjui alimfanyaje. google "diamond na papaa msofe" utaona walivyoshrkiana had wakakaushiana ghafla