Meneja Babu Tale!

Meneja Babu Tale!

Sasa hata msiongeleee waganga maana hawa ndo babu tale anajivunia..jamaa mshirikina kishenzi halafu liive yani chuma kinaona sifa kabisa wala sio siri.kwa waliokuwa kkuwa naye karibu wanamjua..swala hapa Diamond alikuwa managed na jamaa mwarabu aliyemtengenezea nataka kulewa video..jamaa sijui ikawaje..Topic hapa ni kwamba huyu jamaa zaidi ya uswahili swahili na fitna za hapabna pale ambazo zimetawala biashara ya entertainment hakuna cha maana..jama sio kwamba kashawai mfikisha msanii wowot juu..manzese crew hakuna wote wana hit songs tu..sasa kinachoshangaza eti yeye ndo kamfikisha diamond juu how?dogo tayari alikiwa ana sold out shows,ana hit songs zaidi ya kumi..me nachoona hapa nikupena kiki tu jamaa..anachojua ni uswahili tu..kama vile kumpelekea gari mama mzazi ili media irushe..mtu sio producer sio Dj sio music mogul basi ata mtu aliyefanya kazi redioni eti namkalili "babu tale anajua nyimbo gani nzuri ipi ita hit"-Suma lee.hawa jamaa wamekalili vibaya..jamaa fitna anatumiwa na mawingu kwenye project zao..kuna watu kama taji liundi,Jd matloue
Master j,pfunk,na wengine wengi wenye mchango mkubwa kwenye muziki wa tz ila huyu mtu ambaye aliigiza sauti na kuitwa babu hamna kitu..
 
Rakii anaitwa yule mshikaji,ata mie sijui waliishiaje ila nimshikaji smart...Said Fella nae anasimama kama nani sijui pale maana sometimes anafanya kazi za diamond au ndio kidumu chama cha osata....tale game ya kibongobongo anaiweza sababu inaitaji mtu mnafiki mnafiki na mswahili,ila international hell no..labda market ya international anaicheza salam ah mie sijui ayo tumwachie kifesi
 
Jamaa aliyesema tale kibongo bongo anaweza..
Siwezi kataa amethubutu sema kama tunataka muxiki uwende next lever huo uswahili unamwisho..la sivyo tutaiahia hivyo hivyo..
Jamaa kwanza maimuna aka english not reachable..huwa nawaza anaongea nini akisafiri na Diamond nchi zisizoongea swahili..Lugha ya kiingereza pale sifuri anaunga unga tu...ila hapo ndo unaambiwa jamaa ndo kila kitu daaah!
 
hawa kina talle familia nzima wajanja wajanja na wana upepo flani wa kukamata line za pesa!...personally namkubali mchezo anaocheza ambao wengi umewashinda!
 
hawa kina talle familia nzima wajanja wajanja na wana upepo flani wa kukamata line za pesa!...personally namkubali mchezo anaocheza ambao wengi umewashinda!

Na kuna issue iilishuka Kuwa kuna producer wa Diamond alikuwa anatoka na mama yake Diamond! Ikapelekea kukatisha mkataba huyo ni nani?
 
Wadau leo namzungumzia huyu mtu anaitwa Babu Tale, amekuwa akijichukulia sifa kwa madai kwamba ndo anayewapeleka artists kwenye next lever na kwamba ndo sababu za almasi kuwa juu kwa jitihada za huyu.

Haya kwanza nachoshindwa kuelewa huyu Diamond kampeleka next leve alikuwa tayari yuko juu au amemtoa kwenye mbagala? Maana alikuwa wapi huyu mtu?

Na amekuwa akijichukulia sifa kwamba ndiye aliyemweka dogo juu, how? nahisi hii ni project ya wawingu kumweka huyu mtu sawa akiwafisadi wasanii kwa niaba.

Jamaa nachojua mimi mazense haijawai kupata mafaniniko yoyote ya kujiweka kwenye nafasi anayojiweka, jamaa ana deal kiswahili swahili sana, jamaa kajiweka in a way kwamba bila yeye msanii hatoki nyimbo zake hazipigwi na huyu mtu akisema diamond perfome basi dogo hafanyi kitu kwa style hizi sanaa yetu itafika kweli?

Relax Kijana.
 
papaa Msofe........ walishindwana au ilikuwaje??

papaa Misifa...
Then Ruge...
then Raqey Mohammed wa I-view Media
then Babu Tale, Mkubwa Fella and some other dude...
Diamond ana three managers ate the moment
 
Back
Top Bottom