Pengine kweli hajui kingereza lakini sijawai kusikia ameshindwa kuwasiliana! Lakini hilo haliondoi ukweli kuwa Tale kamsaidia diamond na Hata yeye mwenyewe ana kubali.Jamaa aliyesema tale kibongo bongo anaweza..
Siwezi kataa amethubutu sema kama tunataka muxiki uwende next lever huo uswahili unamwisho..la sivyo tutaiahia hivyo hivyo..
Jamaa kwanza maimuna aka english not reachable..huwa nawaza anaongea nini akisafiri na Diamond nchi zisizoongea swahili..Lugha ya kiingereza pale sifuri anaunga unga tu...ila hapo ndo unaambiwa jamaa ndo kila kitu daaah!
u really are dump aaren't u??1. tehee theee..kwanza mstari wa kwanza kwenye red. sio kila mtu ni mvivu wa kusoma, lakini kama unaandika kama mtoto wa darasa la tatu, lazima tuone uvivu.. refer to past posts, makosa yako nilikuwa naya quote in red.
2. Meneja kutaka diamond apande first class ni strategy ya kupandisha status ya msanii wake. imagine Diamond angekuwa hakatai show za million mbili ingekuwaje??
3. Hio show wali cancel baada ya promoter kuonyesha dalili za utapeli, lakini waliamua kumsitiri kwa kudai kwamba hakuweza kulipia first class....
use your head to think!!
Eti uhalali???and u r???can we all know who thr heck u r here kutoa uhalali na kuakiki maoni ya watu..u really are broke aaren't u?? Spending time correcting people's ish instead of voicing urs..Guess this really bothers u!!Get on with it..its a free world and each one of us r entitled to own opinion..not always facts but hey its mine and my opinion doesn't necessarily have to approved by YOU or anyoneHapo nilipo pigia mstari pameondoa uhalali wa maandishi yako! Huyu Tale si parfect Manager Lakini pengine umeshindwa kuonesha alipo kosea na hatuwezi kutoa hukumu kupitia neno inasemekana .
u really are dump aaren't u??
Promota utapeli?the same guy paid for his first trip visas and everything???.
Dude go and do ur research..stop being a hyper man for talle n co..
Hakuna dalili za utapeli kwa swala la hiyo show ya pili..swala babu talle alileta uswahili wake kwa personal interest..
Strickly not being biased but hata kama iasue haikuwa ticket why watangaze mpaka dakika za mwisho ndo wa pull out..guess why? LACKING MANEGERIAL SKILLS..NA kufanya mambo yake kimazense..do me favour and go get facts na sio upambe upambe tu..
Mkuu uandishi wako si mzuri andika kwa ufasaha hivi vifupisho Vina haribu uandishi!Eti uhalali???and u r???can we all know who thr heck u r here kutoa uhalali na kuakiki maoni ya watu..u really are broke aaren't u?? Spending time correcting people's ish instead of voicing urs..Guess this really bothers u!!Get on with it..its a free world and each one of us r entitled to own opinion..not always facts but hey its mine and my opinion doesn't necessarily have to approved by YOU or anyone
Eti uhalali???and u r???can we all know who thr heck u r here kutoa uhalali na kuakiki maoni ya watu..u really are broke aaren't u?? Spending time correcting people's ish instead of voicing urs..Guess this really bothers u!!Get on with it..its a free world and each one of us r entitled to own opinion..not always facts but hey its mine and my opinion doesn't necessarily have to approved by YOU or anyone
Mkuu una ugomvi gani na Babu Tale kwani? Be transparenly
akikupa jibu la maana nistue....!!
Nani hasiyejua hilI..acheni kukariri
Nisichopenda ni sifa za kipumbavu..Tale ana managerial skills ana uswahili na fitna..
I got respect for Fella coz dude has been maintained his game..ata pindi nature anawabwaga chege na temba jamaa alikaza hakukata tamaa na ndo aliwapiga taff jamaa kipesa mpaka wakatoa projects..but talle hapana nakataaa na ashukuru mawingu otherwise chaliii
Tatizo umekataa kuongea ukweli Hata kidogo!
Huyo babu Tale hata kama unamuona hajafanya lolote hao wasanii anao wasaidia na kuwa manage Wanaona matunda yake!
Tunajua fika Tale is not parfect manager Lakini ameonesha anaweza na amefanya yaliowashinda ma manager wengine wa wasanii!
Kwenye ukweli tuwe tunasema na uongo tuseme pia hili kutenda haki! Ni aibu kusema Tip top au TMK hazina mafanikio yeyote ni wazi hautendi haki kabisa.
Mwenye macho anaona mwenyewe kuwa hao wana mchango mkubwa kwa wasanii uliyo wataja!Kama unajua maana na kazi za manager huwezi kushangaa msanii kuambiwa show hii fanya na hii hapana!
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni! Kuna mambo mengi mazuri yamefanywa na Tale kuwa fikisha hao wasanii hapo walipo na pia Kuna sehemu amekosea kama binadamu!
papaa Misifa...
Then Ruge...
then Raqey Mohammed wa I-view Media
then Babu Tale, Mkubwa Fella and some other dude...
Diamond ana three managers ate the moment
Mbona umemsahau Jakaya Kikwete
Mbona umemsahau Jakaya Kikwete