1. tehee theee..kwanza mstari wa kwanza kwenye red. sio kila mtu ni mvivu wa kusoma, lakini kama unaandika kama mtoto wa darasa la tatu, lazima tuone uvivu.. refer to past posts, makosa yako nilikuwa naya quote in red.
2. Meneja kutaka diamond apande first class ni strategy ya kupandisha status ya msanii wake. imagine Diamond angekuwa hakatai show za million mbili ingekuwaje??
3. Hio show wali cancel baada ya promoter kuonyesha dalili za utapeli, lakini waliamua kumsitiri kwa kudai kwamba hakuweza kulipia first class....
use your head to think!!