white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Tatizo ni hiyo njia ndio inawachanganya watu, mtu atoke moshi kwenda shinyanga, inakuwaje apitie tabora?wakati ni sehemu mbili zilizo kaa kushoto(haziingiliani)?Mkuu mikutano inapelekwa mbali na siku zinakua nyingi ili PerDiem iwe kubwa kubwa.
Yes, inawezekana, nasikia kuna mbuga Fulani wanapita humo. Hatari sanaAlikuwa anatokea Moshi kwenda Tabora na ajali akapatia Shinyanga?
Asante kwa taarifa.
Kuna njia ya kupitia Arusha, Ngorongoro, Meatu, Mhunze(Kishapu), Kolandoto na kufika Shinyanga.Sasa hiro route mbona ngumu kumeza sana. Alikatiza Serengeti au vipi na kwa nini hakupita hakupita ya babati kondoa dodoma au babati hydom Singida then aitafute tabora au mimi sielewi urefu wa hizi route.
Sasa shinyanga amefikaje?labda Shinyanga kuna shortcut yakwenda TaboraAlikuwa anatokea Moshi kwenda Tabora na ajali akapatia Shinyanga?
Asante kwa taarifa.
Ukiwa na protection gears unasepa kilometer kibao tu mkuu.Kama Mungu alipanga Ajali hataingekuwaje angepatatu
Kama Mungu alipanga ajali kutokea ingetokea hata bila ya iyo pikipiki mh! Lakini jamaa anamoyo km 700 na ushehee kwa pikpik kweli Mangi kazidi
Mungu amemuadhibu kwa ujinga wakeKama Mungu alipanga Ajali hataingekuwaje angepatatu
Kama Mungu alipanga ajali kutokea ingetokea hata bila ya iyo pikipiki mh! Lakini jamaa anamoyo km 700 na ushehee kwa pikpik kweli Mangi kazidi
Kuendesha piki piki masafa marefu huchosha sana mwili.Ukiwa na protection gears unasepa kilometer kibao tu mkuu.
Ni kweli ajari haiangalii unatumia usafiri gani.
Mshana hii ajali atakuwa katengenezewa tu... maana si kwa roho mbaya hiyo. Tunguli zako zinasemaje😂😂Inaelezwa kisa cha kugoma kutumia gari hilo ni kubana matumizi ikiwamo mafuta,posho ya dereva na wajumbe ambao angeamabatana nao katika safari hiyo kitendo ambacho kinaelezwa ni cha kibinafsi kuliko maslahi ya chama.[emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Mimi enzi hizo napiga tripu za pikipiki, km 160 tu zilikuwa zinanichosha.Kuendesha piki piki masafa marefu huchosha sana mwili.
Makalio huuma kama umepigwa fimbo, kiuno ndiyo usiseme.
Pikipiki kwa safari ya km200 halisumbui, zaidi ya hapo labda upumzike ili kesho uendelee na safari yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo makalio mkuu, yanakuwa ndembwe ndebwe kama umeyaazima.Mimi enzi hizo napiga tripu za pikipiki, km 160 tu zilikuwa zinanichosha.
Samahani mkuu, makalio yamesharudi kwenye hali yake ya kawaida?. Au bado yako ndembe ndembwe kama ulivyoshuhudia?.Tatizo makalio mkuu, yanakuwa ndembwe ndebwe kama umeyaazima.
Enzi hizo mi nilikuwa ninasonga hadi km300, lakini nafika nikiwa hoi kweli, nilikuwa natumia masaa6 safari hizo kwa rough road.
Sent using Jamii Forums mobile app