Meneja KNCU asafiri kwa pikipiki toka Moshi hadi Shinyanga na kupata ajali

Hakujua ananyima posho watu na mwishoni mwa mwaka ada zinatakiwa
 
Uchawi upo au haupo ?
 
Hii kauli inaashiria alipigwa kipapai na si vinginevyo
 
Si angepanda basi?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cheap is expensive, na maisha ya mtoto wa watu yamepotea.
 
Namsifu kwa ujasiri!
 
Huu uzi comments zimenichekesha sana

Ova
 
Sasa hiro route mbona ngumu kumeza sana. Alikatiza Serengeti au vipi na kwa nini hakupita hakupita ya babati kondoa dodoma au babati hydom Singida then aitafute tabora au mimi sielewi urefu wa hizi route.
Atakuwa alikuwa anaenda Tabora ya upande wa Kahama, kwakuwa Kahama ni Shinyanga
 
Tatizo ni hiyo njia ndio inawachanganya watu, mtu atoke moshi kwenda shinyanga, inakuwaje apitie tabora?wakati ni sehemu mbili zilizo kaa kushoto(haziingiliani)?
Kwenda Tabora unaweza kupitia Kahama, kahama ni wilaya ya shinyanga, mi mwenyewe huwa naenda Tabora kupitia Kahama, huwezi jua labda alitaka apite Ishushimulwa, mambali pote huko wanalima tumbaku
 
Kama Mungu alipanga Ajali hataingekuwaje angepatatu



Kama Mungu alipanga ajali kutokea ingetokea hata bila ya iyo pikipiki mh! Lakini jamaa anamoyo km 700 na ushehee kwa pikpik kweli Mangi kazidi
πŸ€”πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa iyo hata hii ilipangwa,apate ajali uje uandike hivi!?
 
Picha yake tafadhali tuiprint tuipitishe kwa wadau tumuombee michango ya matibabu
 
Massawe ana save pesa ya Krismas ili achinje kitimoto na kunywa bia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…