Meneja Sallam: Off to Mombasa, Kiba inabidi ufanye kitu safari hii

Meneja Sallam: Off to Mombasa, Kiba inabidi ufanye kitu safari hii

Ujanja kupata na si kuwahi, unaweza ukawahi na usipate, yanaweza kuwa kama yale ya coke studio mwaka jana, lkn huyo mwengine mafani wake wanasema hategemei collabo.
 
Sawa endelea kutokushangaa, kwan wizkid naye yupo chini ya Sony? Wameangalia uwezo wa kuperfom live, sasa mondy yeye hivyo vitu hawezi ndiomana kaamua akaungane na mchovu mwenzie Neyo huko kwenye vishow vya birthday club ulaya
ha ha ha ha ha kumbe show za birthday
 
Asante kwa kuliona hilo japo wengi wao watatupinga
hao achana nao mkuu ni haterz mwenzao jukwaa moja na WIZKID aka STAR BOY na CHRISS BROWN aka CHRISS BOY in MOMBASA naona MOND mavi debe kwenye suruali
 
Show sold out. Ticket zote zimeuzwa tayari. Waliowahi Ticket wanauza bei mruko tiketi ya Ksh 5000 inauzwa kwa ksh 20000.
Don't you know?
Beautiful people
Beautiful people
Beautiful people
Beautiful people
huyu muandaa tamasha atakuwa ana mawe sana aisee hata clouds tv hawampati
 
You are Right 100%
Diamond Kafunikwa na Dogo, Kafunikwa Kishenzi na Hapo Imekula kwake na Huo wimbo Bora Angeandika Raymond ft Diamond, Maana nyimbo kaibeba dogo, Take it from me hiyo Nyimbo Itampa Dogo Vitu vingi sana ambavyo hakuwahi kuviwaza, Yaani sasa ndiyo katambulishwa rasmi, Shukrani kwa Mondi kwa kumshika dogo mkono.
Lakini si anamtoa kimaisha ya Muziki?
 
hao achana nao mkuu ni haterz mwenzao jukwaa moja na WIZKID aka STAR BOY na CHRISS BROWN aka CHRISS BOY in MOMBASA naona MOND mavi debe kwenye suruali
Jiliwaze tu,ipo siku kiba atamfikia MOND,lakini baada ya miaka 389.
 
You are Right 100%
Diamond Kafunikwa na Dogo, Kafunikwa Kishenzi na Hapo Imekula kwake na Huo wimbo Bora Angeandika Raymond ft Diamond, Maana nyimbo kaibeba dogo, Take it from me hiyo Nyimbo Itampa Dogo Vitu vingi sana ambavyo hakuwahi kuviwaza, Yaani sasa ndiyo katambulishwa rasmi, Shukrani kwa Mondi kwa kumshika dogo mkono.
raymond works for dai kila anachoingiza ray dai ana% yake
ni kama sony na kiba
 
You are Right 100%
Diamond Kafunikwa na Dogo, Kafunikwa Kishenzi na Hapo Imekula kwake na Huo wimbo Bora Angeandika Raymond ft Diamond, Maana nyimbo kaibeba dogo, Take it from me hiyo Nyimbo Itampa Dogo Vitu vingi sana ambavyo hakuwahi kuviwaza, Yaani sasa ndiyo katambulishwa rasmi, Shukrani kwa Mondi kwa kumshika dogo mkono.
Diamond imekula kwake..?
How..?
 
Ray anakipaji haswaa maana ukisikiliza salome unaona kabisa mondi kafunikwa na katembelea nyota ya ray.Na hapo ndio nilipoona mondi si chochote maana ni kama mt.kilimanjaro(ray) na kichuguu(mondi) na kama ni wewe ni shabiki yake mshauri asirudie tena kumshirikisha ray maana atafunikwa tena
HUYU RAYMOND NI NYOKO ZAIDI YA MONDI NINA WASIWASI HUENDA HATA IDEA YA SALOME IMETOKANA NA RAYVANN MAANA KAKIMBIZA BARAHA MWANZO MWISHO
Mshampata mtu mwingine wa kumfananisha na Diamond..!?
 
Kolabp ya Ali na breezy imefanyika tayari kwa habari nilizonazo Niko huku English point marina hotel
 
Back
Top Bottom