pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Vote vote vote for OLAMIDE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha ha ha kumbe show za birthdaySawa endelea kutokushangaa, kwan wizkid naye yupo chini ya Sony? Wameangalia uwezo wa kuperfom live, sasa mondy yeye hivyo vitu hawezi ndiomana kaamua akaungane na mchovu mwenzie Neyo huko kwenye vishow vya birthday club ulaya
you are so pointful huyu KIBA hafananishwi bongo hapa wanaobisha wamuulize R.KELLY na NEYOKingkiba sio msanii wala mwanamziki, Alikiba ni Alikiba, yaani kuna wasanii, wanamziki na kuna Alikiba, huyu jamaa ni noma hafanananishwi
hao achana nao mkuu ni haterz mwenzao jukwaa moja na WIZKID aka STAR BOY na CHRISS BROWN aka CHRISS BOY in MOMBASA naona MOND mavi debe kwenye surualiAsante kwa kuliona hilo japo wengi wao watatupinga
huyu muandaa tamasha atakuwa ana mawe sana aisee hata clouds tv hawampatiShow sold out. Ticket zote zimeuzwa tayari. Waliowahi Ticket wanauza bei mruko tiketi ya Ksh 5000 inauzwa kwa ksh 20000.
Don't you know?
Beautiful people
Beautiful people
Beautiful people
Beautiful people
Lakini si anamtoa kimaisha ya Muziki?You are Right 100%
Diamond Kafunikwa na Dogo, Kafunikwa Kishenzi na Hapo Imekula kwake na Huo wimbo Bora Angeandika Raymond ft Diamond, Maana nyimbo kaibeba dogo, Take it from me hiyo Nyimbo Itampa Dogo Vitu vingi sana ambavyo hakuwahi kuviwaza, Yaani sasa ndiyo katambulishwa rasmi, Shukrani kwa Mondi kwa kumshika dogo mkono.
Jiliwaze tu,ipo siku kiba atamfikia MOND,lakini baada ya miaka 389.hao achana nao mkuu ni haterz mwenzao jukwaa moja na WIZKID aka STAR BOY na CHRISS BROWN aka CHRISS BOY in MOMBASA naona MOND mavi debe kwenye suruali
Tamasha limeandaliwa na Gavana Joho wa Mombasa kuchochea utalii pwani ya Kenya. Gharama zaidi ya Ksh 160 milioni.huyu muandaa tamasha atakuwa ana mawe sana aisee hata clouds tv hawampati
raymond works for dai kila anachoingiza ray dai ana% yakeYou are Right 100%
Diamond Kafunikwa na Dogo, Kafunikwa Kishenzi na Hapo Imekula kwake na Huo wimbo Bora Angeandika Raymond ft Diamond, Maana nyimbo kaibeba dogo, Take it from me hiyo Nyimbo Itampa Dogo Vitu vingi sana ambavyo hakuwahi kuviwaza, Yaani sasa ndiyo katambulishwa rasmi, Shukrani kwa Mondi kwa kumshika dogo mkono.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] eti sony na kibaraymond works for dai kila anachoingiza ray dai ana% yake
ni kama sony na kiba
Diamond imekula kwake..?You are Right 100%
Diamond Kafunikwa na Dogo, Kafunikwa Kishenzi na Hapo Imekula kwake na Huo wimbo Bora Angeandika Raymond ft Diamond, Maana nyimbo kaibeba dogo, Take it from me hiyo Nyimbo Itampa Dogo Vitu vingi sana ambavyo hakuwahi kuviwaza, Yaani sasa ndiyo katambulishwa rasmi, Shukrani kwa Mondi kwa kumshika dogo mkono.
Ray anakipaji haswaa maana ukisikiliza salome unaona kabisa mondi kafunikwa na katembelea nyota ya ray.Na hapo ndio nilipoona mondi si chochote maana ni kama mt.kilimanjaro(ray) na kichuguu(mondi) na kama ni wewe ni shabiki yake mshauri asirudie tena kumshirikisha ray maana atafunikwa tena
Mshampata mtu mwingine wa kumfananisha na Diamond..!?HUYU RAYMOND NI NYOKO ZAIDI YA MONDI NINA WASIWASI HUENDA HATA IDEA YA SALOME IMETOKANA NA RAYVANN MAANA KAKIMBIZA BARAHA MWANZO MWISHO
vote for wizkid mtvemavote 4 Olamide...
[HASHTAG]#mtvema[/HASHTAG]
Jamaa Nina wasiwasi na cerebellum yakoKiba ni level ya rayvanny sio mondi bin laden
shoga wa wapi wewe juma juXX,Shoga lakichaga ujui ata unaongea nn
Kiba ni level ya rayvanny sio mondi bin laden