Una akili za kipuuzi sana kama unataka kila kila mradi uwe wa nchi nzima ndipo ufurahi. Lugha unayortumia inaonyesha tu upungufu ulio nao ndiyo maana umajaa lawama tu; inawezekana wewe ni mmoja wa waliofukuzwa kwa kutokuwa na cheti ndiyo maana lawama kibao. Pamoja na kuwa sikupenda uwanja huo ujengwe Chato kwa sababu zinazowafanya watu kama wewe kulalamika bila sababu, lakini tambua ule ni uwanja wa mkoa wa Geita, haukujengwa kuwa ni uwanja wa Wilaya au wa kijiji cha ya Chato. Hata ukipiga kelele hapo kwenye keyboard yako, hutafanya uwanje ule usiendelee. lengo ni kila mkoa uwe na uwanja wa ndege, baada ya hapo ndipo tutakwenda ngazi ya wilaya. lakini sasa wewe unafanya kuwa ni uwanja wa wilaya kwa sababu ya hasira tu. Soma makadirio ya bajeti ya mwa 2016/17 yaliyopitisha ujenzi wa viwanja hivyo vya Geita, Musoma, Mwanza, Msalato na vinginevyo kama saba hivi.
Kati ya madhaifu yako makubwa na kuangalia mambo kwa sura ya juujuu tu na kuandika kwa hasira na papara bila hata chembe ya busara. Huelewi kuwa watu hutumia huduma kadiri inavyopatikana; mtu mwenye akili timamu hawezi kusema kwa vile watu wa sehemu fulani husafiri kwa baiskeli tu na wala mabasi hayafiki huko, basi hakuna haja ya kuwajengea barabara.