Ni assuption tena, huenda wangezidi cause unapo fanya booking ndege inakwambia kabisa ratiba ilivyo, sio kazi kubwa, jaribu tu hata wewe, fanya kama unataka kusafiri utaona hilo. Sitetei ujenzi wa uwanja huo na wala binafsi sijawahi kufika Chato but najaribu kuangalia the way ulivyoiweka formula yako, kugawanyia 30 sio sawa, ungetafuta siku 3 kwa wiki katika mwezi zipo ngapi then jibu lake ndio ugawanye kwa hiyo 250. All in all, uwanja wa ndege wa Chato was another wastage of money in our country