Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Nimeambiwa ziko 3,so ukitaka wastani Kwa safari basi unachukua hiyo 8.33×7/3.Ni as simple as that!Unajua safari Kwa wiki ziko ngapi??
Kumbuka pia hakuna safari inayoanzia Chato au kuishia Chato!Yaani ndege ikitoka Mwanza kwenda Dar,basi inachoma mafuta kutua Chato kuongeza abiria wawili watatu then inapaa kwenda Dar!