Meneja: Uwanja wa ndege Chato unahudumia abiria 250 kwa mwezi

Kwa hiyo huyo babu yako hatakufa? Ujinga mtupu!
Ujinga mtupu ni huyo fara mwenzako kuniuliza habari ya babu yangu. Nyie mnamsujudu huyo mtu wenu hadi leo.. MJUE NI NINYI TU.. ASHASAHAULIKA KABISA NA DUNIA NZIMA SASA INAMWOMBEA MAMA AFANIKIWE. HAKUNA ANAYEMWOMBEA JPM TENA..
 
Tunapotafuta mean(wastani),mfano j3 mpaka j5!Tuseme j3 ulikunywa Lita 5 zamani,J4 hukunywa maji,j5 ukanya Lita 1!Ukitafuta wastani
wa kunywa maji Kwa siku basi utachukua (5+0+1)/3=2
Sasa labda useme utafute wastani wa kunywa maji Kwa siku ulizokunywa maji tu ndipo siku ambayo hukunywa maji hutaihesabu!
Kwa mantiki hiyo kwenye suala la safari za ndege Chato,kama kila siku kungekuwa na ndege basi wangesafiri Kwa wastani wa abiria 8 Kwa siku,ndicho hicho nilichosema!
Usiwe mvivu wa kufikiri!
Mkuu uko na akili sawa kweli! Mean mean on reality, ungeweja basi na regression factor
 
Ujinga mtupu ni huyo fara mwenzako kuniuliza habari ya babu yangu. Nyie mnamsujudu huyo mtu wenu hadi leo.. MJUE NI NINYI TU.. ASHASAHAULIKA KABISA NA DUNIA NZIMA SASA INAMWOMBEA MAMA AFANIKIWE. HAKUNA ANAYEMWOMBEA JPM TENA..
Endelea kuimba mapambio! Mpuuzi nakwambia utakufa tu siunajifanya unajua!
 
😂😂😂😂😂. Mtu unataka hata kutoa roho sababu ya mfu mwendazake? Yani naona unaandika kwa hasira kweli. 😂😂😂😂😂😂. Unajipa stress tu za bure. Kati ya mimi na ww nani anaimba mapambio hapa. Kengee ww
 
Mkuu uko na akili sawa kweli! Mean mean on reality, ungeweja basi na regression factor
Don't complicate things,abiria wanaosafiri Kwa ndege Kwa mwezi mzima ni abiria 250!safari ziko 3 Kwa wiki hivyo basi watu ambao wangesafiri tuseme j3 na hakuna ndege wanalazimika kubook siku ambayo Kuna ratiba ya ndege!
So nikasema,kama ndege ingekuwepo kila siku,inamaana Bado abiria ni walewale 250!Hapo ndipo logic ya kugawanya Kwa 30 kuona wastani wa siku!
 
Wewe pimbi ni kabila gani? Mimi nijuavyo nchi hii watumiaji wa ndege za local wengi ni chaga,wasukuma na wahaya! Kidogo na watu wa mbeya.
Sasa inakuwaje abiria 250 kwa mwezi? Hao wasukuma wakipanda ndege watatua mwanza. Mwanza airport ni karibu na Mwanza yenyewe,Geita, Simiyu na Shinyanga.
Usije ukajidanganya kuwa ukienda kanda ya ziwa utatumia Chato airport.
Tunaoenda kanda ya ziwa tunatumia Mwanza airport...labda uwe na shughuli Chato.

Kutoka Geita mjini hadi mwanza ni karibu kuliko kutoka Geita mjini kwenda Chato.

Mnalinda Legacy ya jiwe kwa ku support ujinga wake wa kujenga international airport kijijin kwake.

Solution ya kuepuka hiyo hasara ni utengenezwe mkoa mpya ambao makao makuu yake yatakuwa hapo kijijin otherwise hiyo miradi ni hasara tu.
 
Wewe ni mkazi wa Chato?Ndege inapotua Chato na kuondoka lazima iingie kwenye record kuwa imepaa kutoka Chato na abiria wangapi!
Nipe ushahidi wa tiketi maana ni online booking,Naona umeleta story tu ya kujitungia!Weka ticket Moja tu,ficha details!
Kumbe vita yako inawahusu wakazi wa Chato? Ok mimi nautumia sana uwanja huo kupita tu hata kama sio mkazi wa Chato na ushahidi huu hapa.
 
Attachments

250/30 =8.33
Sasa wastani wa abiria nane Kwa siku ni matumizi mabaya ya rasilimali watu na miundombinu hiyo ya uwanja na ndege!
Uwanja hauna tija hapo Chato!
Angalia tena hesabu yako mkuu; kasema ndege zinatua mara 3 kwa wiki, wewe ume assume ndege zinatua/inatua kila siku, sio fair bwana...! Joke
 
Abiria ni hao hao 250 in total,mfani ndege ingekuwa inafanya safari kila siku,Huoni hao abiria 250 ndio wangejigawa Kwa hizo siku 30?
 
Ni assuption tena, huenda wangezidi cause unapo fanya booking ndege inakwambia kabisa ratiba ilivyo, sio kazi kubwa, jaribu tu hata wewe, fanya kama unataka kusafiri utaona hilo. Sitetei ujenzi wa uwanja huo na wala binafsi sijawahi kufika Chato but najaribu kuangalia the way ulivyoiweka formula yako, kugawanyia 30 sio sawa, ungetafuta siku 3 kwa wiki katika mwezi zipo ngapi then jibu lake ndio ugawanye kwa hiyo 250. All in all, uwanja wa ndege wa Chato was another wastage of money in our country
 
Mimi nilitaka kujua kama kila siku kungekuwa na ndege,basi tungekuwa na abiria 8 watakaopandia Chato!
Lakini kwakuwa hakuna,basi wastani wa abiria Kwa safari hizo 3 Kwa wiki ni 8×7/3!
Wala sijaenda nje ya uhalisia!
 
Mimi nimefanya hivi; kwa wiki ndege inatua mara 3, mwezi mmoja una wiki 4 so kuna siku ngapi katika mwezi? ni 4x3=12 so ndege hizi za ATC inatua Chato mara 12 kwa mwezi and hence 250/12=20.8 so bado kwa hesabu (kama ni kweli lakini, maanake wengine ni waongo sana ) ni watu 20 point something, au unaweza uka estimate to 21 watu per trip; kama sio uongo to me naona sio mbaya
 
..Ndege inatua Chato mara tatu kwa wiki maana ya kuwa ni takribani mara 12 kwa mwezi, na amesema kwa mwezi inahudumia wateja 250, sasa kwa wastani ni 250/12 maana ni takribani 21 hivi kwa wiki moja!
 
Mimi nimefanya hivi; kwa wiki ndege inatua mara 3, mwezi mmoja una wiki 4 so kuna siku ngapi katika mwezi? ni 4x3=12 so ndege hizi za ATC inatua Chato mara 12 kwa mwezi and hence 250/12=20.8 so bado kwa hesabu (kama ni kweli lakini, maanake wengine ni waongo sana ) ni watu 20 point something, au unaweza uka estimate to 21 watu per trip; kama sio uongo to me naona sio mbaya
Fanya rahisi,chukua 250/4 maana yake ni Kama abiria 62 Kwa wiki!
International airport kama Chato kuhudumia watu 62 Kwa wiki ni hasara na matumizi mabovu ya miundombinu!
 
Don't complicate things,abiria wanaosafiri Kwa ndege Kwa mwezi mzima ni abiria 250!safari ziko 3 Kwa wiki hivyo basi watu ambao wangesafiri tuseme j3 na hakuna ndege wanalazimika kubook siku ambayo Kuna ratiba ya ndege!
So nikasema,kama ndege ingekuwepo kila siku,inamaana Bado abiria ni walewale 250!Hapo ndipo logic ya kugawanya Kwa 30 kuona wastani wa siku!
Ndio maana ikawekwa mara 3 kwa wiki. Tatizo mkuu ni mtazamo wako wa kisiasa ndio maana unajitahidi kuja na non existing assumptions ili tu uonyeshe unachokitaka. Unajua kitu inaitwa stimulated demand? Bado sikubaliani na hesabu zako za kisiasa
 
Yaani Chato Bado sana hata iwe stimulated vp!Abiria 250 Kwa mwezi Kwa international airport kama Chato ni matumizi mabaya ya miundombinu!
 
250/30 =8.33
Sasa wastani wa abiria nane Kwa siku ni matumizi mabaya ya rasilimali watu na miundombinu hiyo ya uwanja na ndege!
Uwanja hauna tija hapo Chato!
Ungefanya comparison na viwanja vingine kama vile Songwe Airport na Bukoba Airport ndio tungejua. Halafu, nani ajuaye ya kesho?
 
Back
Top Bottom