GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Nashindwa kuwaelewa Viongozi wa Yanga SC kwani tayari wameshaonyesha kutomhitaji ila hawataki kumuacha wakisema watatoa taarifa yake Tarehe 31 July, 2023 ambayo ndiyo siku ya mwisho kusajili na kuacha Mchezaji.
Hapa wanafanya uhuni kwakuwa wanajua kuwa Bangala akiachwa tu Saa 7 Mchana basi Saa 8 Mchana anasajiliwa na Timu nyingine ndani au nje ya Tanzania," Meneja wa Mchezaji Yanick Bangala.
Chanzo: EFM Sports Headquarters leo
GENTAMYCINE wiki iliyopita nilikuja na Uzi hapa nikifumba (kama kawaida yangu) ila nikawaonya Yanga SC kuwa wakimuacha tu Bangala anahamia mahala fulani ambako anahitajika kuliko anavyohitajika huko Yanga SC wapuuzi na majuha wakanibeza na hawakuniamini.
Sasa nadhani baada ya leo Meneja wake kusema kile kile nilichokisema na kukitahadharisha hapa hapa JamiiForums tutaanza kuheshimiana na kukubali kuwa kuna watu wengine wana tunu (shani) nyingi zinazowafanya kuwa juu na maarufu siku zote.
Asante Mwenyezi Mungu.