Ishu sio kukupinga. Ishu ni kwamba bangala alishaonyesha utovu wa nidhamu since msimu ulipoisha hasa baada ya mechi ya ngao ya jamii. Mchezaji ambaye ni professional player una mkataba na timu, huidai timu, watu wanafanya mazunguzmo na wew while una mwaka mmoja umesalia na tetesi zinasemekana jamaa alikua akiongoza migomo ndani ya timu while wenzake wakitulia. Huyo huyo bangala mind you timu aliokuepo before hajaja yanga na kuonekana aliachwa coz kiwango kilishuka.. akaja yanga ikamsaidia kiwango kikarudi why afanye mambo ya kihuni kama hay? So kwa michezo yake aliofanya ndo tunasemaga kama mbwai na iwe mbwai yanga itabaki na itaendelea... Ndo yale yale ya kina Shishimbi naamini hata yeye pia yatamkuta. Tunza post yangu.... Hata hili la meneja wew siku hizi sikuamini na vyanzo vyako kutoka EFM... KUNA MOJA MAJUZI ULIWEKA CHANZO CHA UWONGO KABISA LEO HII HIKI SIKIAMINI MPKA NITHIBITISHE MANA ALIYEMLETA DJUMA,MAYELE,MOLOKO NA BANGALA NI MMOJA HAWEZI KUONGEA KWA KUKOSA PROFESSIONAL KIASI HICHO COZ TAYARI WASHAJENGA MAHUSIANO MAZURI NA YANGA KWENYE BIASHARA... HAWEZI KUHARIBU BIASHARA YAKE. SASA NGOJA NIFUATILIE CHANZO HICHO NIONE KAMA NI KWELIr