Utaratibu upi ufuatwe? Mchezaji hataki kwenda mkopo, anataka mkataba uvunjwe asepe basi sasa ubaya uko wapi hapoAnhaaa safi kabisa.. sasa hoja ya kusema mchezaji akitaka kuondoka yanga vizuri timu inambania mpk kutaka kuharibu kipaji chake inatokea wap? Tunachotaka fuata taratibu then nenda unakohitaji basi...
Kama anaipenda alishindwa nini kwenda hukoMuda utaongea Bangala ataenda kwa mkopo singida FC, hawataki acheze timu pendwa ya Simba SC, Bangala anaipenda hadi anaumwa
Sasa kama anataka kuvunja mkataba si alipe gharama awe huruUtaratibu upi ufuatwe? Mchezaji hataki kwenda mkopo, anataka mkataba uvunjwe asepe basi sasa ubaya uko wapi hapo
Kaka hujui kitu usijivue nguo mitandaoniHahaa kumbe sababu Fei toto muislam mwezio wa Zanzibar aliguswa ndio unmpondea Hersi?
Sasa sikiliza wewe hujui kitu. Ile alifanya Raisi Samia sio sawa hapaswi kuingilia mambo ya mpira mchezaji kama una mkataba lazima aidha uutumikie au uuvunje kwa utaratibu sio maelekezo ya raisi sababu mnatoka nae sehemu moja.
Kumbe hili unalijua, sasa kilichopo pale hata hii ya kulipa gharama za mkataba hawataki na pia hawataki acheze tz kama akisepa yaani mwanamke umemuacha afu umchagulie bwanaSasa kama anataka kuvunja mkataba si alipe gharama awe huru
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Yaani unashangaa kwa msomali? Mbona ukatili ni kitu cha kawaida sana kwao. Tena hata wao kwa wao.Management ya Yanga ni wajinga sana.
Wana hiyari wauwe vipaji. Yule sijuwi Msomali wa wapi ambae hajuwi maana ya Rehma ni nini.
Hakuna kitu kikaendeshwa kwa roho mbaya kikafanikiwa.
Ukhty hiyo ilikua ni mechi ya soka kumbeMimi nataka kujuwa mechi ya wapinzani wa IGA huko Mbeya imefikia wapi leo?
Erythrocyte
Mdude_Nyagali
Mimi Yanga nimemsikia huyo meneja akiongea tena kiswahili chake cha kubabaishaGentamycine hivi vyanzo vyako vya efm hua unavitoa wap mbona sioni sehemu manager wa bangala akisema ulichoandika. Au umekuja kutuvuruga mana kila sehemu sas hv watu wa simba mkiongozwa na LIKUD ni mwendo wa propaganda tu
Bi mkubwa FaizaFoxy .Mimi nataka kujuwa mechi ya wapinzani wa IGA huko Mbeya imefikia wapi leo?
Erythrocyte
Mdude_Nyagali
Mimi Yanga nimemsikia huyo meneja akiongea tena kiswahili chake cha kubabaisha
Upo mkuranga gani nije kukusabahi?..mi nipo vianziWewe punguani, bata anaharisha tu, ukiona anakunya ujuwe anaumwa huyo.
Hujawahi kuona bata nini? Njoo Mkuranga tukuoneshe bata.
Kwaio mpira sio haramu nazile kampuni zakubetisha zinazozamini mpira nazo vp bibi yanguNajuwa mipira wacha mpira.
Hivi ni mjinga gani dunia ya kiganjani leo hii asiyejuwa masuala ya mpira?
Hivi mnajiona mnaoona mitandao ni nyinyi tu?
Tunajuwa roho mbaya waliyoifanya kwa Fey mpaka mama akaingilia, wakaufyata fya, na ushuzi juu, na mfadhili wao akapewa live na mama palepale akaambiwa wewe tumia pesa mipirani unafikiri hatujuwi unayoyafanya bandarini. Hukuyaona hayo wewe?
Sasa hapo kuna siri gani na vitu vipo wazi kabisa.
Pambaf.
Ungekuwa vyema ungeleta hoja zaidi hapa naona huna tofauti na hao wenzio wote wapiga kelele tu.Kaka hujui kitu usijivue nguo mitandaoni
Simba Morison alipoonyesha utovu wa nidhamu walimwacha, yanga wanaweza wakajikuta na dhahama kubwa kama wanataka kumkomoa mchezaji Hawa sio wachezaji wetu wakionewa wanakaa kimya.Hawa wanajua kudai haki zao Hadi FIFA wanafika.Ishu sio kukupinga. Ishu ni kwamba bangala alishaonyesha utovu wa nidhamu since msimu ulipoisha hasa baada ya mechi ya ngao ya jamii. Mchezaji ambaye ni professional player una mkataba na timu, huidai timu, watu wanafanya mazunguzmo na wew while una mwaka mmoja umesalia na tetesi zinasemekana jamaa alikua akiongoza migomo ndani ya timu while wenzake wakitulia. Huyo huyo bangala mind you timu aliokuepo before hajaja yanga na kuonekana aliachwa coz kiwango kilishuka.. akaja yanga ikamsaidia kiwango kikarudi why afanye mambo ya kihuni kama hay? So kwa michezo yake aliofanya ndo tunasemaga kama mbwai na iwe mbwai yanga itabaki na itaendelea... Ndo yale yale ya kina Shishimbi naamini hata yeye pia yatamkuta. Tunza post yangu.... Hata hili la meneja wew siku hizi sikuamini na vyanzo vyako kutoka EFM... KUNA MOJA MAJUZI ULIWEKA CHANZO CHA UWONGO KABISA LEO HII HIKI SIKIAMINI MPKA NITHIBITISHE MANA ALIYEMLETA DJUMA,MAYELE,MOLOKO NA BANGALA NI MMOJA HAWEZI KUONGEA KWA KUKOSA PROFESSIONAL KIASI HICHO COZ TAYARI WASHAJENGA MAHUSIANO MAZURI NA YANGA KWENYE BIASHARA... HAWEZI KUHARIBU BIASHARA YAKE. SASA NGOJA NIFUATILIE CHANZO HICHO NIONE KAMA NI KWELIr
Wewe hayo umeyatoa wapi?Kumbe hili unalijua, sasa kilichopo pale hata hii ya kulipa gharama za mkataba hawataki na pia hawataki acheze tz kama akisepa yaani mwanamke umemuacha afu umchagulie bwana
Wewe Yanga ya wapi? Bunju au mwembe YangaMimi Yanga nimemsikia huyo meneja akiongea tena kiswahili chake cha kubabaisha
Katika miaka miwili tuna makombe 6 wewe na rehma zako umefika wapi?Management ya Yanga ni wajinga sana.
Wana hiyari wauwe vipaji. Yule sijuwi Msomali wa wapi ambae hajuwi maana ya Rehma ni nini.
Hakuna kitu kikaendeshwa kwa roho mbaya kikafanikiwa.
Sasa hapa mama yangu amefikaje tena hapa. Ebu tukosoane kwa stahaa (in kingai wa ccm voice)Kumbe upo usingizini.
Bofya chini hapo utakuta mpaka picha zangu:
Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo. Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.www.jamiiforums.com
Vipi, huo uzi unaousema mama'ko anaingia?