Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haBabu tale ndio kaandika hivi ? Au demu wake ? Amelalamika Sana Kama vile siyo meneja wa ndomo. Mwanaume wa Dar kazini..
SHIGONGO (TAMASHA LA MATUMAINI), CLOUDS NA MUTTAH KAA NAO MBALIHuyu tale nae ni fisadi la muziki kubwa hapa nchini nan asiye mjua!
Shigongo biashara zimedunda ameamua kulazimisha apate kiki na mdomo uingie kinywani
Kumbe wazaramo asili yao ni waluguru? Maana haya maneno yalitakiwa yatolewe na watu wa Msangangongelo ama Kimanzinchana!!"Mh Magufuli tafadhali Ulipo Kaza legeza, ona Wakubwa wanaanza kutaka kupora hadi watoto vidogo vyao.
Duuu [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Umejitahidi kujaribu kubomoa biashara yangu kenye magazeti yako kwa kila aina ya uchafu kuwazushia na kuwaandika wasanii wangu tumekaa kimya. Baada kufeli kuwabomoa wasanii wangu na kuona magazeti yako sasa hayauzi, watu wapo instagram Naona unajitahidi kujaribu kubomoa biashara yangu kupitia instagram yako.
Siku zote nimekuheshimu na sijawai kuku vunjia heshima hata kwa kuteleza, ila unapoelekea Sina budi ya kukupa unacholazimisha kukipata ili kesho ukawaambie vizuri waandishi wa magazeti yako wanitungie kashfa, uongo na kunitukana kama mnavyofanya kwa wasanii wangu, wasanii wwengine na watu mbalimbali.... tafadhali heshimu biashara yangu kama inavyokuheshimu.
Umekazana wiki nzima kuandika vitu vya uongo juu ya Diamond ila sie tumekaa kimya na kujifanya unazunga eti unatushauri. Kweli mtu unasema unampenda unamshauria instagram, ama unamwita ofisi au nyumbani kumshauri?
Mbona sie hatujawai kuingilia biashara yako wala kukupangia bei juu ya kuuza bidhaa yako yoyote labda kusema gazeti uuze kwa shilingi mia au hamsini? Na kuonesha hatukuwa na tatizo kabisa na wewe, juzi tu tumetoka kuongea na wewe kufanya show ya @Harmonize_tz DARLIVE na tukakubaliana asilimia, na hadi kupost tumepost ila baada ya kuona watu wameipokea kwa ukubwa teaser ya show umetubadilikia na kutaka asilimia kuuuubwa wewe, eti sisi tuchukue asilimia ndogo kabisa tukaona tukae tu kimya, na hatujakulalamikia wala kukuandika popote kiubaya juu ya kutaka asilimia kubwa.
Hivi kweli hata kama kuweka wasanii karibu na mashabiki zao hii ndio kuwaeka karibu wasanii na mashabiki zao kama usemavyo ama kuwaibia wananchi wanaodunduliza kuwasapoti wasanii wao na wewe kujifaidisha kwa kuendelea kuwanyonya wasanii na kutajirika wewe mwisho wa siku wasanii waishie kuambulia jina, na kula Madawa yote kutafuta sababu Msanii akikataa ama kudai aongezewe mapato Ukawaamuru watu wako wakamtungie kashfa na skendo za uongo na kweli ili kum'bomoa msanii kupitia magazeti yako.
Tafadhali heshimu heshima yetu kwako. "Mh Magufuli tafadhali Ulipo Kaza legeza, ona Wakubwa wanaanza kutaka kupora hadi watoto vidogo vyao.
Halafu anajifanya mlokole, kuna watu wana maigizo dunia hiiErick atulie, now hatusomi magazeti umbea tunaupata insta lazima apate stress!!
Huwa ana karoho kabaya sana yule baba