Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Leo asubuhi nikitokea Sengerema nimeshuhdia hili. Nauli ya kivuko ni sh 400 ukitoa buku unarudishiwa sh 500 badala ya mia sita. Mkatisha tiketi anachenji kibao za mia tano miatano lakini mezani hana mia hata moj.
Nimerudi jioni hii nimetoa buku mbili nimerudishiwa buku jero.
Ina maana kila abiria anaambiwa hakuna chenji ya mia.
Hivi kweli chenji ya mia inakosekana huko kwenye mabenki?
Mbona huko nyuma mlikuwa na chenji kamili.
Sisi tukija na nauli ya mia tatu mtaruhusu tupande kweli?
Miamia mnazotupiga abiria ni pesa nyingi tunaweza kununua hata kiberiti home.