Meneja wa kivuko cha Busisi anaibia abiria chenji zao akishirikiana na wakatisha tiketi. Prof Makame Mbarawa naomba umulike.

Meneja wa kivuko cha Busisi anaibia abiria chenji zao akishirikiana na wakatisha tiketi. Prof Makame Mbarawa naomba umulike.

yani wanaume wazima waandamane kisa mia,waache kuandamana kupanda bei ya bidhaa muhimu kama mafuta ya kula na petrol
huku mkoani ukiandamana kisa mia unachapwa viboko
Umeliangalia tatizo in a narrow and shallow approach! Huyu ni mtu anayeiba mia mia kila siku kutoka kwa watu wengi. Ni zaidi ya jambazi sugu. BTW kama huwezi kudai haki ya kitu kidogo basi kikubwa utashindwa!
 
Kuliko kulalamika chenji zinaibiwa ni vyema mtu uje na chenji kamili Hilo ni suluisho.[emoji12]
Hapana jukumu lake kama abiria ni kulipa nauli iliyopangwa kisheria.
Na chenji kamili ni jukumu lake aliepokea malipo bila kisingizio.

Ukiamua kuiacha hiyo shilingi mia au zaidi ni kwa ridhaa yako mwenyewe uliyepatiwa huduma.
 
Back
Top Bottom