Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Watanzania bwana. Sasa hili nalo ni la kumlalamikia waziri? Mnashindwa kujipanga mfanye mkusanyiko na mabango ya kulaani huu wizi kwa umoja wenu?Leo asubuhi nikitokea Sengerema nimeshuhdia hili. Nauli ya kivuko ni sh 400 ukitoa buku unarudishiwa sh 500 badala ya mia sita. Mkatisha tiketi anachenji kibao za mia tano miatano lakini mezani hana mia hata moj.
Nimerudi jioni hii nimetoa buku mbili nimerudishiwa buku jero.
Ina maana kila abiria anaambiwa hakuna chenji ya mia.
Hivi kweli chenji ya mia inakosekana huko kwenye mabenki?
Mbona huko nyuma mlikuwa na chenji kamili.
Sisi tukija na nauli ya mia tatu mtaruhusu tupande kweli?
Miamia mnazotupiga abiria ni pesa nyingi tunaweza kununua hata kiberiti home.
View attachment 2186321
yani wanaume wazima waandamane kisa mia,waache kuandamana kupanda bei ya bidhaa muhimu kama mafuta ya kula na petrolWatanzania bwana. Sasa hili nalo ni la kumlalamikia waziri? Mnashindwa kujipanga mfanye mkusanyiko na mabango ya kulaani huu wizi kwa umoja wenu?
nilipita pale mwezi wa kwanza mwaka huu, huo upuuzi ulikuwepo.wanafidia kwenye gharama za mafuta ya gari zao😂
watakuwa wame make pesa ndefu sana maana kwa siku lazima wanawapiga watu 500 hivi kwa uchache haponilipita pale mwezi wa kwanza mwaka huu, huo upuuzi ulikuwepo.
Kumbe baadhi yenu mnapenda kwa hofu ya kuvunja sheria .pumbavu wewe na wezakoTunaogopa kuvunja sheria.
Kuliko kulalamika chenji zinaibiwa ni vyema mtu uje na chenji kamili Hilo ni suluisho.[emoji12]Leo asubuhi nikitokea Sengerema nimeshuhdia hili. Nauli ya kivuko ni sh 400 ukitoa buku unarudishiwa sh 500 badala ya mia sita. Mkatisha tiketi anachenji kibao za mia tano miatano lakini mezani hana mia hata moj.
Nimerudi jioni hii nimetoa buku mbili nimerudishiwa buku jero.
Ina maana kila abiria anaambiwa hakuna chenji ya mia.
Hivi kweli chenji ya mia inakosekana huko kwenye mabenki?
Mbona huko nyuma mlikuwa na chenji kamili.
Sisi tukija na nauli ya mia tatu mtaruhusu tupande kweli?
Miamia mnazotupiga abiria ni pesa nyingi tunaweza kununua hata kiberiti home.
View attachment 2186321
Yule Baba JamaniKama hutaki kuchangia piga mbizi...
Sio mimi ni yulee wa huko huko kwenu
Mabango ya nini, kamata shika mashati piga vibaya sana kama umbwa, hao ni wezi tuu kama wezi wengine, watabadilika tuuWatanzania bwana. Sasa hili nalo ni la kumlalamikia waziri? Mnashindwa kujipanga mfanye mkusanyiko na mabango ya kulaani huu wizi kwa umoja wenu?
Asante. Niliogopa nikisema hivyo watanibeza na kuniambia unajifanya wewe ni mkorea mwenye black belt kama Kong Chi wakati wewe ni wa hapa hapa Bongo usiyejua kurusha hata teke1Mabango ya nini, kamata shika mashati piga vibaya sana kama umbwa, hao ni wezi tuu kama wezi wengine, watabadilika tuu