Wenye pesa Wana club Yao ambayo Ina very powerful people from the business community, government, the judiciary, police hata magereza, revenue anthority. Ukisikia MTU akikuambia 'unajua Mimi Ni nani' jihadhari.Kama aina hii ya watu ndio Watumishi wa Umma tena wenye dhamana kubwa,unategemea Kodi ya Wananchi itakuwa salama?
---
Jeshi la Polisi Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma linamshikilia Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA wilayani humo Irving Mutegeki kwa tuhuma za kukutwa na meno ya tembo.
Mutegeki amekamatwa na nyara hizo za Serikali wilaya ya Kibondo Julai 2,2024 akiwa kwenye gari binafsi majira ya usiku na anaendelea kushikiliwa na jeshi la polisi kwa ajili ya mahojiano zaidi.
Meneja huyo wa TRA anadaiwa amekuwa akifanya biashara ya meno ya tembo kutoka wilaya ya Kibondo na Kakonko kwenda mikoa mbalimbali nchini na nje ya nchi ikiwemo Burundi.
Hata hivyo kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa za mauaji ya tembo katika misitu na hifadhi zilizopo katika wilaya ya Kibondo na Kakonko.
Taarifa kutoka wilayani humo inaonyesha kuwa kuna jitihada za kuficha suala hilo kwa kutengenezwa mazingira ya rushwa ili kulimaliza jambo hilo ambalo ni uhujumu uchumi.
My Take
Sitaki kuamini kama wenye pesa Huwa wanafungwa,Wacha tuone.
Kumbe unamkumbuka, wale waarabu wa yemen wana balaa, ndio alikua mjomba wake, na leaky abdalah, ambao familia yao nyingine ni akina mahsein, sasa aliebakia ni mdogo wao mmoja anaitwa jamal tamim yuko palepale mabamba ndio alikua na leseni ya uwindaji kwenye yale mapori nadhani hadi leo bado anamiliki vile vitalu, hao ni family friend na mzee kinana na Kwa sasa jamal tamim ni mwenyekiti wa ccm mkoa wa kigoma, lakini najaribu kuangalia dili za waarabu anzia akina shabiby, superdoll, ssf, aboud na hao akina sharif abdalah waliamua kukaa karibu na hifadhi za wanyama pori na ni matajri wa kutupwa, hata akina, waarabu wengi hukaa karibu na mapori ya hifadhi hata Baba yao gharib gsm nae alikua pale tunduru ilipo hifadhi ya selou sijui ni kilimo kinawatoa labda,Huko Kibondo na meno ya tembo wamenikumbusha kisa cha zamani sana cha Sharifu wa Mabamba.
Huyu Sharifu wa Mabamba kama si mjomba wake Dr. Leakey, mchambuzi maarufu wa mpira Tanzania basi atakuwa ni baba'ke mdogo.
Huyo jamaa alikuwa kinara wa kusafirisha pembe za ndovu huko Kibondo miaka ya 70s, akaingia 18 za Nyerere lakini alikuwa ni bingwa, akaipanguwa mitego ya Nyerere na akapotelea Burundi, akwa anaishi kifahamri Bujumbura na akafunguwa shirika moja kubwa la magari Burundi, inaaminika alikuwa akishirikiana biashara zake na Kiongozi wa Burundi wa siku hizo, Micombero.
mrangi mbona unacheka? Wazee wajanja walishaacha hiyo biashara ndio maana tembo siku hizi Ni wengi mpaka wanavamiwa vijiji.😄
Ova
Kuna watu watamtetea kuwa hausiki wamemsingizia tu, tusubiri mahakama iamue. Na hizo number plates zote za nini?Elimu nzuri
Mshahara mzuri
Tamaa mbele
Miaka 30 jela
Asas na Huwel wamekaa karibu na ruaha national parkKumbe unamkumbuka, wale waarabu wa yemen wana balaa, ndio alikua mjomba wake, na leaky abdalah, ambao familia yao nyingine ni akina mahsein, sasa aliebakia ni mdogo wao mmoja anaitwa jamal tamim yuko palepale mabamba ndio alikua na leseni ya uwindaji kwenye yale mapori nadhani hadi leo bado anamiliki vile vitalu, hao ni family friend na mzee kinana na Kwa sasa jamal tamim ni mwenyekiti wa ccm mkoa wa kigoma, lakini najaribu kuangalia dili za waarabu anzia akina shabiby, superdoll, ssf, aboud na hao akina sharif abdalah waliamua kukaa karibu na hifadhi za wanyama pori na ni matajri wa kutupwa, hata akina, waarabu wengi hukaa karibu na mapori ya hifadhi hata Baba yao gharib gsm nae alikua pale tunduru ilipo hifadhi ya selou sijui ni kilimo kinawatoa labda,
Ningeshangaa kama angekosa wateteziHadi kukamatwa plus huo muonekano wake (alivyochakazwa) vyote vinaashiria kwamba alikuwa na visa na hao Polisi, akawa anaminya deals zao na Polisi wakawa wanamtafuta wamminye mahala.
Tukija kustuka tutakuta hata hayo meno ya Tembo walimchomekea kwenye gari
Kwamba Yahaya alimbambikiwa kesi ya ufiraji?,duhJe, Kama amebambikiwa Kesi utajuaje??
Tusimhukumu kabla ya kumsikiliza huyo Meneja wa TRA, huenda amebambikiwa hayo meno ya tembo ili kumkomoa Kama yule aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Bw. Yahaya Nawanda.
Wewe naye akili zako za shida,vipi Comredi kinana kuhudishwa na Biashara ya Meno ya Tembo,kwamba naye maisha yalikuwa Magumu,vipi yule mbunge wa shinyanga,CCM kuhusishwa na ujangiri kwamba naye alikuwa na maisha magumu?Hapo anajuta, na siku zote majuto ni mjukuu. Ndiyo kusema Kigoma, kugumu sana mpaka meneja TRA anaamua, kufanya biashara haramu!!!
Kuna watu wajinga sana nchi hiiKwamba Yahaya alimbambikiwa kesi ya ufiraji?,duh
Haimaanishi kwamba hawezi kuwa mwizi, ila Kama utaamini kila taarifa ya Polisi ni kwa sababu hayajakukuta.Ningeshangaa kama angekosa watetezi
Hilo lisikutie wasiwasi, watu hufanya mengi ya halali na yasiyo ya halali.Kumbe unamkumbuka, wale waarabu wa yemen wana balaa, ndio alikua mjomba wake, na leaky abdalah, ambao familia yao nyingine ni akina mahsein, sasa aliebakia ni mdogo wao mmoja anaitwa jamal tamim yuko palepale mabamba ndio alikua na leseni ya uwindaji kwenye yale mapori nadhani hadi leo bado anamiliki vile vitalu, hao ni family friend na mzee kinana na Kwa sasa jamal tamim ni mwenyekiti wa ccm mkoa wa kigoma, lakini najaribu kuangalia dili za waarabu anzia akina shabiby, superdoll, ssf, aboud na hao akina sharif abdalah waliamua kukaa karibu na hifadhi za wanyama pori na ni matajri wa kutupwa, hata akina, waarabu wengi hukaa karibu na mapori ya hifadhi hata Baba yao gharib gsm nae alikua pale tunduru ilipo hifadhi ya selou sijui ni kilimo kinawatoa labda,
Ukitaka kumroga mtu, nuiaHilo lisikutie wasiwasi, watu hufanya mengi ya halali na yasiyo ya halali.
Kitu cha kukumbuka ni kuwa mitaji ya uhakika ni mali za asili, na mali za asili ni ngumu sana kuzipata mijini. mijini wanakuja kuwekeza baada ya kupata mitaji. Matajiri kuwepo mbali na miji si lazima wawe wanafanya kazi za magendo.
Baba yao kina GSM si Tunduru tu, hata Tanga kaishi. Kumbuka hawa mawahara miaka ya 70s walikuwa wanakuja kwa wingi Tanzania baada ya nchini kwao Yemen kuwa ni wakomunisti, ile haswa sio ya usoshalisti kama Tanzania.
Hawa Wamahara ni wachapa kazi sana, nakumbuka kila anaekuja alikuwa anaanza kuuza nguo kwa kutembeza na kukopesha wakiitwa "guoguo", naamini na baba yao kina Ghalib ilikuwa ni hivyo hivyo. Kidogo kidogo wakawa wanatawanyika kuanzia mijini mpaka vijijini, huko of course walikuwa wanakutana na fursa zingine, kama hizi za kusfirisha pembe, miti, mbao, makaaa ambavzo zote kwao ni mali na huku wameona kama wanaziokota bure. Wakichuma walikuwa wanawekeza kwenye maduka na majumba mijini.
Uzuri wa hao Warabu hawana ubaguzi, wameowana na wenyeji na walikuwa si wazinzi.
Hao wa Morogoro wao kazi zao kubwa zilikuwa ni sukari guru m[paka wengine sasa ni wazalishaji wakubwa wa sukari kama wa Mtibwa.
Wamefanya biashara na wenyeji na wazawa na uzuri wao hao hawamdhulumu mtu kwenye biashara, lakini wenyeji ndiyo kama unavyotujuwa tukipata pesa tunataka kutanuwa, kulewa sana, ngoma na sherehe nyingi, tunaishia kuwa omba omba kwa wajomba zetu.
Sema hao Waarabu walikuwa na roho ngumu na mashujaa kwenda kuishi mbali na kwao maporini, wamekumbana na majanga mengi sana mpaka wao, watoto au wajukuu zao kupata mafanikio.
Uzuri wao, siyo wajinga kama wenyeji.
Hilo ni wazi kabisa.Ukitaka kumroga mtu, nuia
Apende pombe, wanawake na sifa.
Hafiki popote.
Hehe , halafu umkute ndiyo anahusika na faili yako ya kodi.MENEJA YUPI MBONA ANA SURA YA JAMBAZI KABISA HUYU
Utajiri ni kuanzia shilingi ngapi chief? Huyo hana njaa yoyoteNchi hii bila magumashi huwezi kuwa tajiri. Hongera kwake mpambanaji, get rich or die trying.
Akipata dhamana hapo akimbilie kwa mganga huko huko Kigoma kesi inayeyuka kama hewa hiyo. Tangu lini Jamhuri ikawa na mawakili imara kushinda kesi.